

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tota kai! Kwa ujanja wa mfini wanamsikiliza ili ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe bila yeye kujua masikini. Kila la kheri Dr, sijui walikuuliza nini na wewe umejibu nini.
ReplyDeletewacha ufala we anony wa juu---sio kila picha utoe maoni saa nyingine funga bakuli hilo
ReplyDeleteUngelikuwa wewe unayejiita hakaniemi ndiyo yangekukuta hayo maana umejielezea jinsi ulivyo mbu mbu mzungu wa reli tena ungebaki unawachekea tu lakusema huna. Lakini mwenzio huyo ni PhD holder tena sio zile za mtandaoni, yuko makini na anachokifanya sio wewe mwenzangu na mie mwayangumwayangu mradi wajua kudonoa kwenye computer basi!
ReplyDeletePOLE SANA Hakaniemi October 08, 2008 1:54 PM
ReplyDeleteNadhani nyie ndo wale mnaotoa ufafanuzi wa simulizi kwa kuangalia nganda la kitabu.
Mimi sio MwanaSiasa lakini Mhe. Batilda kwa taarifa yako yupo fit mno hapo kichwani tena PhD yake sio ya vichochoroni nakuomba ufungue website ya Bunge baada ya hapo kwenye picha za wabunge tafuta hadi upate jina lake double click... USOME MAMBO YAKE
Big Up dada, Your Super!!!