wafanyakazi wenzie na bi harusi wakila pozi
baadhi ya wageni waalikwa
bwana na bi harusi wakipindinda mugongo...
bila twist haondoki mtu
innocent mfumu na mai waifu wake rosemary mallya wakiteta usiku huu walipomeremeta ukumbi wa princess uliopo sinza mapambano
bosi wa tanzania standard newspapers (tsn), isaack mruman(wa tatu mbele) akijiunga na wafanyakazi wa tsn kwenda kumpngeza inno na rosemary usiku huu
bakshishi iliyotolewa kwa maharusi
wakwe ambao ni wadau wakubwa wa globu hii ndani ya nyumba
bosi wa utawala wa tsn mh. sagamiko akitangaza zawadi kwa maharusi
picha ya pamoja ya wafanyakazi wa tsn na maharusi
mdau joyce macha ambaye ni shabiki mkubwa wa bwawa la maini akigawa keki
mkuu wa wilaya ya nanihino na balozi wa zain naye alikuwemo ndani ya nyumba

Andrew Severine (mwanajeshi)kwenye rap sipo chini..... Sema kijana wa Cubic AT na Bad Omen! Hongera sana kaka kwa kufunga ndoa. Bila shaka hiyo mistari hapo juu imekukumbusha mbali Azaboy.
ReplyDeletemkuu wa mkoa wa nanihii hupitwi naona wenye sherehe zao wasipokuambia haziendi mswano.
ReplyDeleteNamwona hapo Bwn Mrocky akisakata twist vilivyo....
ReplyDeleteBi harusi simfahamu lakini unahaki ya kupewa sifa, umepndezaaa, na uko natural. hongera sana na nakutakia maisha mema mapya ya ndoa.
ReplyDeleteWatoto wa Ubungo Nyumba Ndogo.... Ebwana Long time Inno. Wape hi masela wa nyumba ndogo. Finaly watoto mmeaamua kuowa.
ReplyDeleteKaka Hongera sana mkuu
ReplyDeleteKila la heri kwenye safari ya Maisha uliyoianza!!
Pius Diplomasia (CFR)
Kuala Lumpur-Malaysia
Inno, hongera sana kwa uamuzi wakop.....maana tunajua jinsi ulivyonyanyasika kimapenzi huko nyuma.
ReplyDeleteMuonyeshe upendo mkeo kama tujuavyo jinsi unavyojua kupenda na huu ni mfano bora kwa vijana wote pale Mwadada.
Nakutakia kila la heri na jua kwamba nimefurahi sana kuona umeoa na umempata anaekupenda kikweli na ukampenda kikweli.
Big Up Inno