Home
Unlabelled
JK ziarani mbeya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona mama Chijo kaweza kuudhibiti mwili sasa(Atakuwa anareport Gym) wakati nikiwa pale FCM-UDSM alikuwa amechana sana. Ila mama ni kichwa kizuri sana. Nafikri atakuwa facult dean pale FCM kwa sasa, wakati nipo pale alikuwa head Finance Dept.
ReplyDeleteHUYU NI RAISI WA CCM AU WA WATANZANIA? NILIONA AKIPOKELEWA NA GWARIDE LA JESHI LA CCM, HIVI POLISI WAMESHINDWA KAZI KIASI WANASAIDIWA NA JESHI LA CCM! WAPINZANI NAO WAKIUNDA VIKOSI VYAO MAGAZETI YASIPIGE KELELELE. SASA HIYO BENDERA YA CCM INAFANYA NINI HAPO? IWEJE ANATUMIA PESA ZA WANANCHI KWA ZIARA ZA KICHAMA?
ReplyDelete