Michuzi na wadau wote wa libeneke...
Kwa siku ya pili leo, mtandao wako uupendao wa
hauko hewani kutokana na tatizo la Bandwidth, ikiwa na maana kwamba mtandao umezidiwa mzigo.
Kwikwi hii imetokana na Host wetu kushindwa kutoa Bandwidth inayoendana na ukubwa wa mtandao wenu.
Tatizo hili linatafutiwa ufumbuzi wa kudumu, hivyo tunawaomba radhi wasomaji weto wote katika kipindi hiki cha kutafuta suluhisho hilo ambalo litachukua siku mbili zaidi zijazo.
Tunajua mnaumia kiasi gani, lakini ni tatizo ambalo liko nje ya uwezo wetu sisi waendeshaji wa mtandao huu na tunasikitika sana.
Tunaomba uvumilivu wenu.
WEBMASTER
WEBMASTER
"Kwikwi hii imetokana na Host wetu kushindwa kutoa Bandwidth inayoendana na ukubwa wa mtandao wenu...." acheni kutuyeyusha, ukweli ni kwamba ukilipa pesa kidogo, utapata bandwidth ndogo na SIYO kwamba host ameshindwa kutoa bandwidth inayoendana na ukubwa wa mtandao wenu
ReplyDeleteTusibanie hela jamani hiyo site ni kubwa sana na inafanya kazi kubwa sana sasa kwa nini msichukue hosting yenye maana???Mimi hapo siwezi kuwalaumu hosting ndio wenyewe tatizo kwanza wakati mnanunua hamkua kama hosting ipo ya ukubwa gani???Sasa mnasema kwamba tatizo lipo nje ya uwezo wenu cha muhimu hapo mupunguze mzigo tu basi maana mzigo umekuwa mwingi ndio maana host imejaa na yenyewe pia......kwa ushauri zaidi mnaweza kuhost kutoka www.bluehost.com hawa jamaa wanakupa badwidth bure utajaza kila kitu unachotaka sasa hao wanaokupangia ukubwa wa badwidth achana nao hawana mpango kabisa
ReplyDeletePia siku zote ukishanunua host account hapo uliponunua wanakuwa hawajihusishi tena na wewe maana wakati unanunua ulishaangalia badwidth na ukajua ukubwa wake vipi na hiyo host ipo kwa hiyo ukisema walishindwa kukupa host inayoendana na website hapo nitakaa...Yangu ni hayo tu
Global waambieni wadau ukweli. Hivi ni kweli host ameshindwa kutoa bandwith ya kutosha kuendana na ukubwa wa mtandao wenu au mmenunua bandwith kidogo kwa either kubana matumizi au kwa kujua kuwa itatosha mahitaji yenu??
ReplyDeleteKwa mtandao wenu na uwingi wa vitu mlivyovisheheneza,mlitakiwa mnunue package ya UNLIMITED bandwith, na sio robo robo eti wakilog watu 20 ndio max, wa 21 hawezi mpaka mmoja atoke ndio apate room.
Dakta
Jamani... Kweli tumewakosa sana...
ReplyDeletePlease fanyeni mambo fasta ili tuendelee kublogika kama kawa... Mahadithi ya Shigongo tumeyakosa kishenzi yani...
Fanyeni mambo fasta please...
Jacky
Sawa. Nyie tumekueleweni.
ReplyDeleteNa Globu yetu ya "UTAMU" ndo imekuwaje tene?
Mbona nayo haipatikani?
Si mara ya kwanza hii kutokea ila last time nakumbuka mlisema tatizo hili halitatokea tena ,sasa kulikoni?
ReplyDeleteMRISHO hebu fanya mambo faster unajua ERIC hafahamu tatizo hili akigundua atakasirika wewe yaani acha tu.
mnahitaji kuwaona Web Technologies wako haidery plaza floor ya kwanza, wanatoa UNLIMITED BANDWIDTH HOSTING kwa $100 kwa mwaka!. Wana host high traffic websites ikiwemo ya BBA.
ReplyDelete