Hello Wapendwa,Zimebakia siku 14 tuu kabla ya ile DRAW kubwa itakayowezesha Watanzania 3kwenda kutembelea Hollywood-California na kukaa kwa siku 5 huku wakipatiwa dola 1000 za shopping na kulipiwa kila kitu.
Unachotakiwa kufanya ni kuandika neno timesfm kisha unatuma kwenda 15727unachotakiwa fanya ni kutuma SMS nyingi uwezavyo.
Tarehe 25th Octobertutachezesha draw hiyo na kuwawezesha washindi hao kwenda Hollywood USA.
VIJANA WANGU NITAFURAHI MIONGONI MWA WASHINDI HAO AWE NI MMOJA WA WANAFUNZIWANGU.
KWA MAELEZO ZAIDI SOMA KIAMBATANISHO NA SOMA MAGAZETI YA MAJIRA, SPOTISTAREHE, DAR LEO NA BUSINESS TIMES.
Ukipata ujumbe huu tafadhari mtumie na rafiki yako naye ajaribu bahati yakeyawezekana akawa yeye au wewe!
Washindi wataenda Hollywood-USA tarehe 15 November 2008 hivyo tuma SMS ZAKO SASA!


Kwani hoolowud ndo wapi?....ni hapa Tanzania au nje ya nchi?
ReplyDelete