Taarifa zinasema kwamba operesheni hiyo imefanikiwa. Hata hivyo haikuzungumzwa mipango yake ya tiba.
Hata hivyo inasemekana kwamba madaktari hakuwaridhishwa na jinsi mgonjwa huyo alivyocheleweshwa kufikishwa hospitalini kwa matibabu.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Loh.Mungu atakusaidie Athmani upone haraka.Hao madaktari wa Sauzi wasitubabaishe na sisi tuna madaktari wetu.Walitaka afike tu muhimbili na kukimbizwa tu kwao bila kufanyiwa utafiti(na madaktri wetu).Wasidharau madkatari wetu.Mimi siyo daktari lakini nadhani kabla mgonjwa hajawa 'referred' hospitali za nje lazima madaktari wetu wamchunguze mgonjwa kuona kama tatizo linaweza kutibika hapa nchini.Na kama atasafirishwa apewe huduma gani aweze kufika huko.
ReplyDeleteSauzi, hospitali gani??. Au mji gani?. Kwa nia nzuri tuu.
ReplyDeleteKaka michuzi nilivyoona jina la Athumani na picha yake nilishtuka kabla sijasoma nikawasitaki kuangalia chini du mungu mlinde apate nguvu kaka wa watu
ReplyDeletewako mdau
pole zake athuman hamisi, watajitahidi si hata hivi karibuni kuna watu walikua hospitalized uko bondeni, wanavumilia tu watu wa watu wafanyeje.
ReplyDeletewewe usilaumu madaktari wa afrika kusini kusema amechelewa ni kweli alichelewa kwa uzembe wa mtu mmoja tu huko wizara ya afya aliyekuwa akizungusha kutia saini yake sijui alitaka rushwa au vipi. inabidi hao watiaji saini wachunguzwe kwani ndiyo wanaosababisha vifo vya ndugu zetu na fedha za serikali kupotea.
ReplyDeleteKaka Athuman Hamis pole sana kwa ajali iliyokukuta. Mwenyezi Mungu muweza wa yote atakusaidia upone haraka!
ReplyDeleteRafikiyo wa Darfur, Sudan
annon wa pili juu,,,hahahahaaaa hujatulia kbs
ReplyDeleteannon wa pili toka mwisho ni kweli yan kuna mafisadi Tz adi kero yan mtu kutia saini apo tu adi apangiwe faili akae azunguke na kiti mara ooo nna kikao,nna kazi wakati kitu ni uhai wa mtu apo??ingekuwa vingine kweli,,,nyamafu wakubwa wooote waaanguka saini wanaongojea rushwa kwa matatizo mazito ya watu,,,washindwee