Jambo ! Jambo ! na tena Jambo ! Watoto wazuri, Wajuku wazuri, Marafiki, Dada, Kaka, na jamii. Mara kwanza nilisoma kwenye site ya www.JamiForum.com kuhusu killing of people with albinsim Please nina omba sign petition nilio ku forward kwa barua hii.

Watu wa zeruzeru wana be killed kwa ajili ya uchawi. Ngozi yao inatumiwa huko nyumbani na watu watanzania kuroga. Ina endelea na ku spread Burundi. Jamani Imagine that? It is outrageous!!!!!!!!!!

Click kwenye site yao:
na sign petition yao.
Tafadhali hi ni mambo muhimu sana. Wajulisheni marafiki, jamaa na hasa jamii ya Tanzania kwa ku forward barua hii. Nina tegemea utafanya wajibu wako. Pia tumia ku spread hii petition kwa kutumia simu au text message.
Asante Sana,
Nina kupenda Tina, nina kupendeni wote.
Mama Nargis
Songa Mbele ! Fanya wajibu wako. Sign Petition.
From:
-------------------------------------------
wadau wapendwa!
kilio hiki ni chetu sote. hebu ona mdau alivyo na machungu. unachotakiwa kufanya ni kufungua hiyo site na kuweka sahihi yako - utakuwa umeokoa roho moja ya ndugu zetu hawa. msaada tutani wadau. nawasihi kila mmoja wetu aweke saini yake hapo
-michuzi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. where exatly is the place to sign the petition?

    ReplyDelete
  2. Michuzi, Tuelewesheni hiyo sahihi tunaweka wapi/vipi na itaokoa vipi hawa ndugu zetu albino, sababu nimefungua naona website haihusiani na albino! Naomba kufahamishwa tafadhali.

    ReplyDelete
  3. Michuzi,kama walivyosema wadau hapo juu,hakuna sehemu ya kuweka sahihi.Na inaonekana website haina uhusiano na hili suala la albinos.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...