i am happy you found your Fulanazz.(Tshirt) and luckily its with your daughter.
I would however like to ask a question regarding Blackberry services. I am asking you or fellow bloggers on your blog because i have failed to find answers anywhere. I got to know about blackberry services one year ago and finally two weeks ago i managed to get myself a blackberry 8200g phone.
The information i got from my provider MTN before i got a phone was that i had a choice of either subscribing for full blackberry services or i could use gprs services.
Now finally with the blackberry i am being told that i cant access the internet until i subscribe (USHS 120,000) per month. Thus i am left with a blackberry that i only use to make and receive calls.
I have seen in an earlier posting on your site about Zain and its Blackberry services, as a balozi of Zain could you kindly enlighten us fully about blackberry services and probably what Zain charges.
Kind Regards
Phillip Higenyi Kakuru
Phillip Higenyi Kakuru
ICT Resource/Webdesign
ICT MOVEMENT
Tel: +256775669099
P.O Box 5772
Kampala
ha ha ha ha ya rabbi toba mbavu zangu weee!!!!!! kiingilishi hiki jamani kitanitowa uhai wangu. duh hii ya leo ni kali, maana kila sentensi imenikata mbavu. thanks mate you have made my day!
ReplyDeleteWewe anony 11:12am naomba nikuulize swali..Wewe ndio unajua sana kiinglishi au???..kama ni ujumbe basi umewafikia watu na kueleweka sasa wewe tatizo lipo wapi???..kama angekuwa na nia ya kutaka msaada wa lugha angekuambia..acheni zenu chafu za kujiona mnajua sana na ndio maana mnabakia nyuma siku zote.
ReplyDeleteHi Philip,
ReplyDeleteComing from the IT world you should have been wiser than investing your money on a Blackberry! .. Ila basi, bahati yako mbaya...There s no reason why the operator cannnot give you GPRS/EGDE.. all you rally have ot do is configure your device for GPRS.. i think you should be able to get he setting of the operators portal... Next time, keep away from American hype.. GSM/GPRS is a european phenomena and the americans arestill playing "catch up" ... the same goes for the I-phone!
Anony 12:50 PM, mbona hasira hivyo?...ni wewe nini ndiye uliyetuma ujumbe?.....ukituma ujumbe kwa Michuzi, utegemee kila kitu ie matusi, kejeli, na kadhalika na hii ndiyo raha ya blog ya Michuzi
ReplyDeleteBlackBerrie ni kwa ajili ya Cooperate Uses (emails, calenders, meetings, reminders, etc)-yaani Outlook yote ipo kwenye BlackBerry, kama unatumis BB kwa ajili ya kuongea na kutuma Text, then you are wasting your money big time, just nunua simu ya kawaida (Nokia) na uendelee na maisha, na pesa zinazobaki watumie wazazi wako....
ReplyDeleteBlackbery ni kwa ajili ya waandishi wa habari au cooperate uses . kwani simu zingine hauwezi kutumia .Sisi watanzania jamani tunapenda makubwa kama wewe ni mwandishi wa habari kuwa nayo .lakini save your money ili ikusaidie uzeeni
ReplyDeleteIt is true that u'll need an extra plan or service 2 access all the services. I know it b'se I have the blackberry bold 9000.
ReplyDeleteThe only way U could use that without paying any extra dime is by using WIFI feature and that depends if U have a router at home,if they provide that service in you office building or if you live nearby those places that they provide that service for free (starbucks, some libraries here and subways.
This limitation applies to all PDA though I had a cingular 8525 prior to this one and it was the same scenario. It is still hard 2 use those services in some cities here in the US too. So if U have that one back home it will be more harder 2 enjoy ur phone 2 the fullest.
Blackberry Service will not work in TZ without subscription even though most TZ carriers have GPRS/UMTS coverage, reason being is BB devices require relay services (simply meaning the device has to register to RIM for E-mail redirection/push, calendar, browser etc to work) so yes you will be able to use Voice and TXT (SMS) but Data you can forget about it if you dont subscribe. According to RIM's website Celltel is the only carrier in TZ that has BB relay service (and i bet they charge an arm and leg for it)
ReplyDeletehttp://www.blackberry.com/news/press/2007/pr-05_07_2007-02.shtml
even in the US/Europe or South Africa blackberry services are subscription based.
anon wa pili unauliza tatizo langu liko wapi? tatizo langu ni watu kama wewe msokuwa na elimu na engilishi yenu finyu kutaka kujifanya mnajuwa sana kiasi kwamba hamtaki kuandika kiswahili. tatizo langu ni kuwa watu kama wewe wenye akili finyu wenye kuona kuwa ni bora kuandika kiingilishi kibovu kuliko kutumia lugha ya taifa. tatizo langu ni wewe unaeharibu lugha ya watu na kutuvunja mbavu kila siku.
ReplyDeleteI don't see any grammatic errors in this message. The first annomy can you point out any mistake you have cited? I bet you can't even describe yourself in english in an A4 page!
ReplyDeleteNasikitika sana kwamba badala ya kumsaidia mwenye tatizo naingilia hawa waosha vinywa. Hivi watanzania tuna matatizo gani? Mwenzetu ameomba tu msaada, baadhi yetu sio watalaam wa simu (mimi sio mtalaam for sure) kwahiyo tusiojua basi tunaacha wale wenye utalaamu wanatoa mawaidha na mwenye shida anapata anachotaka. Ila mimi sijui kama tuko hapa kusaisha lugha na kulumbana, naelewa kuna kutania kama kawaida ila nina wasiwasi kwamba baadhi tunaandika tu, kwa vile tuna access ya mtandao bila kufikiria. Na guess what? hatuendi kokote kwa mtindo huu.
ReplyDeleteGuys, this dude is in Tanzania. na who said that u have to be a corporate to use a BB??? Dude, check other providers they should be able to hook you up brother.
ReplyDelete....for E-mail redirection/push, calendar, browser etc to work) so yes you will be able to use Voice and TXT (SMS) but Data you can forget about it if you dont subscribe..... How about downloading other clients that do the same? you dont need "the relay" for push mail .. "blackberry" for free
ReplyDeletewww.funambol.com
Mbona kijana wa watu kajielezea vizuri tu na English iliyoenda shule we anony wa kwanza unaongea lugha gani? Acheni kuongea pumba na kujaza hii blog na pumba zenu. THis is 2008 u got to love globalization...kwa hiyo akiongea English, French etc...atakuwa amewafikia wasomaji saa nyingine hizi blog ndiyo zinatakiwa zitufundishe na siyo kukosa bila kujenga..
ReplyDelete......mmmmm,labda na mimi sijui kiingereza! Mbona English ya aliyetuletea tatizo lake imetulia, in fact imeenda shule kabisa?? Anony wa kwanza, labda utuambie jamaa alipokosea ili tusahihishane...!
ReplyDeletewe anon wa kwanza ulikuwa umevuta bangi nini wakati unasoma hii message kilichokufanya ucheke ni nini? hata kama amekosea grammer so whats so funny about it na unaweza kutueleza wapi mwandishi amekosea jamani msiingie kwenye blog ya michuzi wakati mmeshalewa au kuvuta bangi au ni stress za kubeba boksi hehehehe
ReplyDeleteMwakiingileza, hiyo english haijatulia ina makosa kibao tu, ila hakuna haja ya kuchekana, cha msingi ni kufundushana na kusaidiana tu na upendo, kama unajuwa english saidia na wengine wajuwe pia, kunamakosa mengi tu hasa ya grammar, na ameandika kwa kutafsiri ama lugha yake kwenda ki-english au kiswaili kwenda english, that they call direct tanslation, baadhi ya spelling pia si sahihi kwa mfano neno luckly yeye kaandika luckily, tatizo lingine ni pantuations, kiasi kwamba mtu akisoma inam-bore na anaishia kusema english mbovu wakati si mbovu
ReplyDeleteAnony wa kwanza naomba utuandikie habari yote aliyoandika huyo bwana anaye kuvunja mbavu ktk kiinglish chako kilicho kaa sawa ili tuone hiyo shule uliyokwenda na elimu isiyo finyu ambayo mwenzetu umebarikiwa kupata. Nina hakika wewe ni mmoja wa wale ambao mna mtazamo kwamba mzungu au mgeni akiongea au kuandika kiswahili na kubofoa ni sawa kwakuwa si lugha yake na wala huto cheka lakini mmatumbi mwezio akiongea kiingereza au kuandika na kukosea basi inakuwa nongwa. Kwa dunia hii ya sasa ya utandawazi hutofika popote pale kwa mawazo yako finyu.
ReplyDeleteAnon 12:37 am nafikiri na wewe utakuwa unakosea unaposema kuwa jamaa kakosea kuandika neno luckily, kwakuwa spelings ni sahihi ila neno lako luckly ndio si sahihi. Hata neno panctuations umelikosea,lakini najua hiyo nimakosa tu ya kawaida katika kubofya..nakuunga mguu kwa hoja yako ya kuwa ni vema tukafundishana na kusaidiana wala si kuchekana kama huyo wa kuja hapo juu kabisa.
ReplyDeleteUnajua nini ndugu zangu, mimi simjui aliyeandika hiyo comment nambari wani kabisa. Naona kila mtu amemshambulia kwa nguvu zote; ila nimesoma sentensi zake mara mbimbili na ukitumia critical thinking nafikiri maelezo yake yanaweza kuwa na maana mbili. Moja ni ile ambayo wote tumejampu na kumshambulia kwamba anaona mwenzake hajaandika engilishi ya maana. Ya pili, inawekana amefurahishwa au kashangazwa na utalaamu wa mwenzie na hivyo akacheka kwa kumpa krediti mwenzake. Kwahiyo tujaribu kuwapa watu benefit of the doubt kabla ya kufanya uhamuzi.
ReplyDeleteMwisho ninayosema hayatakuwa na maana unless huyo anon wa kwanza aeleze nini alichomanisha.
Humu tunaonekana washamba na wajinga. Hivi mmeshaingia blog ya kenya, uganda, congo na senegal? nimeingia hizo na kweli watu wanavunda kiingereza chao lakini hamna hata mtu anawakejeli aua kuchambuana. Kama manataka kuanzisha blog ya kufundishana lugha jamani anzisheni huko. waachieni watu wawe na free speech ya kujieleza watakavyo...kunawatu wanaongea fluent lugha yeyote lakini kuandika saa nyingine sio rahisi...laiki ujumbe wake umefika....sasa wale wanaokosoa ni kuwa wanjua sana au wanaona wivu kuwa wao hawawezi kujieleza ipasavyo sasa wanatoa hasira au ni kwa vile ameongelea kuhusu blackberry yake basi wengine mnazania ni show off...jamani let be civilized kidogo. Mjue sio watu wa home tu tunaread hii blog wako wengi sasa wakituona hatuna lolote kichwani zaidi a kujudge wengine unafikiri wao watafikiria nini?
ReplyDeleteNi tabia ya baadhi ya wamatumbi kama anon wa kwanza kujiona wao ni zaidi kuliko wengine pinde wanapokuwa wana kaufahamu fulani. Big up anon 7:36 pm kwa kuweka ukweli. Angekuwa ni muitaliano kaandika hicho kimombo basi asingetia neno kabisaa!..na pengine angemsifia kuwa kaenda shule kama yeye. Wamatumbi wenzangu tusikatishwe tamaa na malofa kama anon wa kwanza tusonge mbele na kuandika katika lugha yoyote tunayoipenda kwa kufanya hivyo tutakuwa tunakabiliana vyema na ulimwengu wa utanda wazi. Camarade na ngai oyo ya likoloo ozalii liboma penzaa.. okendaki class te!!
ReplyDelete