Wapenzi wote wa bongo flava kuanzia Newark to Jersey city, Philly mpaka New York mnakaribishwa rasmi kuhudhuria show maalumu ya mwanamuziki machachari kutoka Tanzania, Alikiba jumamosi ijayo
10-04-2008
NYATI LOUNGE Essex,
NJ.
Alikiba ameahidi kuwachengua washabiki wote watakohudhuria kwa takriban masaa mawili non stop na vibao vyake murua kama CINDERELLA, MAC MUGA, NAKSHI NAKSHI na vingine sita alivyovitoa jikoni hivi majuzi.
Kwa maelezo zaidi tazama flier hapo juu ama nenda http://www.alikibausa.com/
AKSANTENI AND C U AT THE SHOW!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tafadhali Rekebisha:

    Address ndio hii:

    Nyati Lounge
    543 Martin Luther King Dr.,
    JERSEY CITY, NJ

    Thank You

    ReplyDelete
  2. Jamani waandaaji fanyeni basi mpango mumlete Ali Kiba Canada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...