Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila
akizungumza kwa simu nje ya Mahakama ya Tarime wakati watuhumiwa waliomjeruhi kwa kumpiga jiwe alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika jimbo la Tarime.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ooops! Mbona naona FULANZZZZZ ya Jamii pale mwishoni???? Au ZAFANANA?????

    ReplyDelete
  2. Jamani kusema kweli, aliyempiga mtikila mawe ni John /mashaka yeye ndo mkuray anayafahaminana na mtikila. inabidi naye akamate badala ya kujiona kama vile ni falme

    ReplyDelete
  3. Michuzi, were you the master minder ? I can see that can possibly be. it seems like someone resembling to you trailing the group at the back, or he could be a defense lawyer, who really know ?

    Can you extinguish our doubts?

    What was the REAL reason behind the attack, Michuzi can you share some light on the issue with us.


    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  4. Hii! FULANAZ!!!!! ya Jamii naiona hapo ! huyo jamaa kaizima au? ndio anataka kuifanya ndio kivazi kipya cha manjagu!

    ReplyDelete
  5. Jiwwe karusha mtu mmoja,mbona umekamatwa umati wa watu,au ndio kusema samaki akioza mmoja,basi huoza wote.

    ReplyDelete
  6. hahahaha hii picha kali sana maskini mtikila na kovu lake kichwani, huku jamaa wanaingia mahakamani anawatizama kwakwakwa.

    ReplyDelete
  7. Tunaita kukong'oliwa, Mtikila amekong'oliwa

    ReplyDelete
  8. Alikua anaita 911? manake amewaangali kama vile anajua wanamjia tena.

    Nchi yetu kupiga mtu sio vizuri hata kama hukubaliani na sera zake. Njaa tupu ndio maana hata hao vijana hawajui walichompigia. Na wanaowatumia kufanya hayo maasi wao wanakula kuku kwa mrija tu

    ReplyDelete
  9. Ni kweli ni njaa tu. Hebu waangalie mmoja amevaa suti na kandambili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...