

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
suprise, suprise!!
ReplyDeletekuna mwanakijiji mwingine afahamikae huko?...hehehe
ReplyDeleteCCM bwana...never seize to amaze me.
Mbona wanaendeleza haya mambo ya kiujamaa mpaka leo? Si wachague moja...ujamaa au ubepari.
Kumetumika criteria gani kuchagua mwananchi bora?
EAC ilipovunjika Cleopa Msuya alipewa jukumu la kusimamia zoezi la kuanzisha viwanda Tanzania ktk kutekeleza azma yetu ya kujitegemea.
ReplyDeletezoezi hilo alilisimamia kwa ufanisi mkubwa.
awamu ya kwanza ya utawala wa Raisi Mwinyi, Msuya alipewa jukumu la kusimamia marekebisho ya uchumi, kupambana na mfumuko wa bei, uhaba wa bidhaa, na kurejesha mahusiano mema na wafadhili na vyombo vya fedha vya kimataifa.
john malecela alipolazimishwa kujiuzulu taifa lilimgeukia Cleopa Msuya kurudisha heshima ya serikali iliyokwenda likizo ktk kukusanya kodi, na kuhakikisha kwamba uchaguzi mkuu 95 unafanyika kwa kutumia fedha zetu za ndani.
Cleopa Msuya siku zote ulitekeleza majukumu yako bila majungu na kutafuta kujikweza.
wanakijiji wengine wa Mwanga ni Dr.Asha-Rose Migiro, Prof.Jummanne Maghembe, Lt.Gen.Abdulrahman Shimbo,Prof.Jummanne Maghembe,Prof.Yunus Mgaya,Prof.Iddi Mwindadi Mmbaga,Prof.Abdulrahmani Msangi, Khatibu Kihiri Senkoro,Balozi Fadhili Mmbaga,Balozi Radhia Mtengeti Msuya, VC Mwantumu Malale......
ReplyDeletemwananchi bora kwa category gani? Mimi naona hii ingeenda kwa mwananchi amabte anaishi normal life na anajitahidi kukabiliana na ugumu wa maisha na bado anakuwa na moyo wa kujitolea kusaidia jamii
ReplyDeleteHii hapa wala hainogi kwa vile tunajua uwananchi wake bora ni kwa ajili kazi alizowahi kushika na wala sio jingine
Na yeye ndiye aliyeteuliwa na Mwalimu aongoze Timu ya Watanzania kwenda kujadiliana na IMF na BENKI YA DUNIA kuhusu Ubinafsishaji wa Uchumi wa Tanzania,na kilichofuata kila mtu amekiona!This Photograph tells it all,the smiles!Abracadbra!
ReplyDelete