mdau frank mtao akiwa huko australia anatuma salamu nyingi kwa wadau wote wa globu ya jamii. anapendekeza iundwe tume na globu hii ya jamii kuchunguza libeneke la peter nalitolela na kuomba amani na upendo vitawale uchunguzi huo ili libeneke lisiende adijojo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hey mdau frank asante.Vipi wale wanyama wadogo wanaitwa KOALA hukuweza kupiga nao picha?Next time usisahau big fella.

    ReplyDelete
  2. He! Watu wengine wanashangaza sana..... wenzie wanaokana wakilisha watoto yatima, lakini yeye analisha sijui midudu gani. Natanguliza samahani kama umepiga picha hizi ukiwa kazini kwako..... maana huenda kazi yako ni kulisha hiyo midudu.

    ReplyDelete
  3. kangaroos mate......................

    ReplyDelete
  4. Myama huyu anafanana na yule KAMENDEGERE nafikiri wadau wengi hawamfahamu kamandegere na nafikiri kangaroo waswahili hawana jina
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  5. Nice pics mdau Frank.

    ReplyDelete
  6. Mkuu hiyo ndio kazi unayofanya huko????

    ReplyDelete
  7. Haki ya nani kuna picha snepu ya simba jike 'wakichezeana' zilinivutia sana (kunradhi Michuzi na mdau wa Selous, ila lengo kuu ni kuitangaza nchi yetu). Asante mdau wa Australia kwa snepu la kangaroo. Hilo limkia sio mchezo mzee! Wananyweka supu?

    ReplyDelete
  8. kwani kupiga picha akilisha hawa wanyama kuna shida gani? Kila mtu lazima apigie picha analisha watoto...wewe wa wapi? Kama una njaa ni kivyako.
    Sidhani kama kuna kiswahili cha Kangaroo...maana si kiumbe wa maeneo kiswahili kizungumzwapo.
    Ni sawa na dingo, koalas, panda, nk...

    mtoto

    ReplyDelete
  9. frank naona demu wa kizungu amekutoa hongera hadi unalisha wanyama wakati ulivyokuwa huku ukiwaogopa. heeheeee! haya bwana

    ReplyDelete
  10. HONGERA FRANK KWA KUPATA KAZI NZURI YA KULISHA WANYAMA. NA SISI TUNAOMBA UTUPIGIE MAPANDE TUJE HUKO.

    MLA VUMBI

    ReplyDelete
  11. Frank tunaomba picha za harusi basi.
    Shemeji
    UK

    ReplyDelete
  12. Oct 4, 3:10 pm You need help.

    ReplyDelete
  13. kwi kwi kwiiii,,,kwa kweli yamkini hii ni kazi yake,,bt kazi ni kazi ilmradi si fisadi
    aya frank ukumbusho wa home,,mana wengine wapiga picha ktk barafu,tower za London,bridge za marekani nk

    ReplyDelete
  14. Kazi ni kazi kaka wewe lisha tuu hiyo midude ila nyumbani hata kuku sidhani kama ulifuga,anyway tuonyeshe picha za harusi tunasikia ulienda kuoa..please

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...