Home
Unlabelled
salamu toka australia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hey mdau frank asante.Vipi wale wanyama wadogo wanaitwa KOALA hukuweza kupiga nao picha?Next time usisahau big fella.
ReplyDeleteHe! Watu wengine wanashangaza sana..... wenzie wanaokana wakilisha watoto yatima, lakini yeye analisha sijui midudu gani. Natanguliza samahani kama umepiga picha hizi ukiwa kazini kwako..... maana huenda kazi yako ni kulisha hiyo midudu.
ReplyDeletekangaroos mate......................
ReplyDeleteMyama huyu anafanana na yule KAMENDEGERE nafikiri wadau wengi hawamfahamu kamandegere na nafikiri kangaroo waswahili hawana jina
ReplyDeleteWakatabahu
Nice pics mdau Frank.
ReplyDeleteMkuu hiyo ndio kazi unayofanya huko????
ReplyDeleteHaki ya nani kuna picha snepu ya simba jike 'wakichezeana' zilinivutia sana (kunradhi Michuzi na mdau wa Selous, ila lengo kuu ni kuitangaza nchi yetu). Asante mdau wa Australia kwa snepu la kangaroo. Hilo limkia sio mchezo mzee! Wananyweka supu?
ReplyDeletekwani kupiga picha akilisha hawa wanyama kuna shida gani? Kila mtu lazima apigie picha analisha watoto...wewe wa wapi? Kama una njaa ni kivyako.
ReplyDeleteSidhani kama kuna kiswahili cha Kangaroo...maana si kiumbe wa maeneo kiswahili kizungumzwapo.
Ni sawa na dingo, koalas, panda, nk...
mtoto
frank naona demu wa kizungu amekutoa hongera hadi unalisha wanyama wakati ulivyokuwa huku ukiwaogopa. heeheeee! haya bwana
ReplyDeleteHONGERA FRANK KWA KUPATA KAZI NZURI YA KULISHA WANYAMA. NA SISI TUNAOMBA UTUPIGIE MAPANDE TUJE HUKO.
ReplyDeleteMLA VUMBI
Frank tunaomba picha za harusi basi.
ReplyDeleteShemeji
UK
Oct 4, 3:10 pm You need help.
ReplyDeletekwi kwi kwiiii,,,kwa kweli yamkini hii ni kazi yake,,bt kazi ni kazi ilmradi si fisadi
ReplyDeleteaya frank ukumbusho wa home,,mana wengine wapiga picha ktk barafu,tower za London,bridge za marekani nk
Kazi ni kazi kaka wewe lisha tuu hiyo midude ila nyumbani hata kuku sidhani kama ulifuga,anyway tuonyeshe picha za harusi tunasikia ulienda kuoa..please
ReplyDelete