Kwanza nampa pole mtoto Samwel. Pili namshukuru mola kuwa ameweza hatimaye kufanyiwa upasuaji na umeenda salama. Namuombea kidonda cha upasuaji kipone haraka na azidi kupata nafuu. Halafu tena nimepokea picha toka kwa rafiki yangu aliyekuwepo katika harusi ya Benedict (Dito) Busunze na dada Agnes. Dito nilisoma naye O' level Mbagala na A' level Mzumbe, ingawa alikuwa darasa 1 mbele. Sasa hii imenifurahisha maana Mzee wa Libeneke la Taswira umenyakwa ukiwa kazini!
MdauNalitolela P.S
hapo ni siku mtoto samuel nkya alipokuwa anataka kukwaa pipa kwenda mumbai kwa matibabu. ujumbe wa juu usiwasitue kwani karantini ya nalitolela imeinuliwa baada ya mambo kuwekwa sawa kiana. hivyo libeneke kama kawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Dito kaoa,uuh! Kweli ujana una mwisho wake!!!

    ReplyDelete
  2. Sorry, that should be Busunzu not Busunze.. vidole vilichapia badala ya kuchapa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...