Home
Unlabelled
usafiri kwa madenti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa mtaji huo tutabebe wanafunzi wangapi na vibajaji vitakuwa vingapi na kwa barabara zipi?
ReplyDeleteThis is incredible, a riding death trap!
ReplyDeleteLife is so desperate, and greedy to let alone trusting a cyclist to ride your bunches of kids to funeral procession.
I wont let my son onto that, would you ? May be is cultural difference to ours, rickshaw! it all started in India, Isn't it ?
Desperate time! Desperate Measures! A class war fare, unprivileged trying to compete hard with the haves. Need to send the kids to school whatever it takes. Thats sort of MENTALITY I guess. It is understandable but not COOL to everyone.
My condemnation is glass half full!
By Mchangiaji
DAH! HAPO KAKA UNANIKUMBUSHA ENZI HIZO TUKO PORI TUKITUMIA VIBAJAJI VYA KUSUKUMWA NA NG'OMBE,INAWEZEKANA TUKAFIKIA HIVYO SO LONGER NAULI NI TATIZO ITABIDI UKAMAE MWANAUME NDO LIFE.
ReplyDeleteSIKU HIZI BONGO VIBAJAZI KKOO-UKONGA NA KKOO -MBAGALA VYA KUMWAGA TUU WATU WANAJIMINGO KAMA KAWAIDA.MKUU SISI WA BANANA PIA TUNAONA DILI TU VIKIJAA VIBAJAJI MJINI POA TUU.
Usafiri mara nyingi huhitajika endapo mtu unaenda mbali sana. Kama ni jirani basi waweza kutembea kwa miguu. Ningeunga mkono kama hiyobaiskeli ina motar, sasa kama kiuno cha mtu ndio injini
ReplyDeletebasi una-guarantee kwenye mlima lazima atakwama na kwenye mtelemko mkali kama vile Kitonga itakuwa kama stori ya njombe --- "mkavalongelage mtigilaghe ilipesa lilimbeta".Kwa ufupi baiskeli ilikuwa haina break basi jamaa aliyekuwa anaendesha alidhani atakufa na akawa anatoa siri hela yake ya akiba aliiweka kwenye mbeta.
Mungu ibariki tanzania
Duh!!?? Hii kali, Wadosi kwa kubana matumizi ndo wenyewe!!!??
ReplyDeleteHN.BAROZI wa ZAIN hii picha kama aijafanyiwa marekebisho ya kompyuta basi ni picha bora ya MWAKA.
ReplyDeleteThat is child endangerment as well as child abuse and and it is antiestablishmentalism.
ReplyDeleteHii imenichekesha sana. Ukiangakia ni co education halafu English medium school. Yaani wameamua kwenda green au ni kubana matumizi?
ReplyDeleteSijui safari wanaianza saa ngapi asubuhi kufika shuleni?
Mwee nisicheke sana ni bora kuliko ile baba yangu alikua ananiambia walikua wanaenda shule mile 5 bila viatu na yeye alikua ana viatu ila inabidi avifiche njiani kwenye majani kwa vile alikua anaona aibu kuvaa viatu peke yake shuleni.