Michuzi,
Hii ngoma kiboko. Vipi kama Bongo tumeiga vibajaji, je, ina maana
tutafikia hatua hii pia na sisi?
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kwa mtaji huo tutabebe wanafunzi wangapi na vibajaji vitakuwa vingapi na kwa barabara zipi?

    ReplyDelete
  2. This is incredible, a riding death trap!

    Life is so desperate, and greedy to let alone trusting a cyclist to ride your bunches of kids to funeral procession.

    I wont let my son onto that, would you ? May be is cultural difference to ours, rickshaw! it all started in India, Isn't it ?

    Desperate time! Desperate Measures! A class war fare, unprivileged trying to compete hard with the haves. Need to send the kids to school whatever it takes. Thats sort of MENTALITY I guess. It is understandable but not COOL to everyone.

    My condemnation is glass half full!

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  3. DAH! HAPO KAKA UNANIKUMBUSHA ENZI HIZO TUKO PORI TUKITUMIA VIBAJAJI VYA KUSUKUMWA NA NG'OMBE,INAWEZEKANA TUKAFIKIA HIVYO SO LONGER NAULI NI TATIZO ITABIDI UKAMAE MWANAUME NDO LIFE.
    SIKU HIZI BONGO VIBAJAZI KKOO-UKONGA NA KKOO -MBAGALA VYA KUMWAGA TUU WATU WANAJIMINGO KAMA KAWAIDA.MKUU SISI WA BANANA PIA TUNAONA DILI TU VIKIJAA VIBAJAJI MJINI POA TUU.

    ReplyDelete
  4. Usafiri mara nyingi huhitajika endapo mtu unaenda mbali sana. Kama ni jirani basi waweza kutembea kwa miguu. Ningeunga mkono kama hiyobaiskeli ina motar, sasa kama kiuno cha mtu ndio injini
    basi una-guarantee kwenye mlima lazima atakwama na kwenye mtelemko mkali kama vile Kitonga itakuwa kama stori ya njombe --- "mkavalongelage mtigilaghe ilipesa lilimbeta".Kwa ufupi baiskeli ilikuwa haina break basi jamaa aliyekuwa anaendesha alidhani atakufa na akawa anatoa siri hela yake ya akiba aliiweka kwenye mbeta.

    Mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  5. Duh!!?? Hii kali, Wadosi kwa kubana matumizi ndo wenyewe!!!??

    ReplyDelete
  6. HN.BAROZI wa ZAIN hii picha kama aijafanyiwa marekebisho ya kompyuta basi ni picha bora ya MWAKA.

    ReplyDelete
  7. That is child endangerment as well as child abuse and and it is antiestablishmentalism.

    ReplyDelete
  8. Hii imenichekesha sana. Ukiangakia ni co education halafu English medium school. Yaani wameamua kwenda green au ni kubana matumizi?

    Sijui safari wanaianza saa ngapi asubuhi kufika shuleni?

    Mwee nisicheke sana ni bora kuliko ile baba yangu alikua ananiambia walikua wanaenda shule mile 5 bila viatu na yeye alikua ana viatu ila inabidi avifiche njiani kwenye majani kwa vile alikua anaona aibu kuvaa viatu peke yake shuleni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...