warembo wanne watoiwakilisha rwanda kwenye mchuano wa east africa model search wakipozi baada ya kuteuliwa mwanzoni mwa mwezi jijini kigali. toka shoto ni ninnete hezagira, nadege gasama, noela aushimiyamama na nannnete ausabe.
majaji wakimhoji mmoja wa washindani wa rwanda
warembo waliojitokeza kwenye mchujo wa kigali
majaji wakimuintavyuu mmoja wa washindani wa rwanda
waratibu na majaji wa msako wa mrembo wa rwanda
majaji wakipozi na washindi wanne wa rwanda huko kigali
mbunifu wa mitindo alietengeza nguo za washiriki akipozi na washindi. msako wa kutafuta wawakilishi wa nchi za ist afrika mashariki unahamia uganda wiki ijayo, kabla ya kwenda kenya na baadaye burundi. tayari bongo wameshapatikana warembo 13 wakisubiri fainali zitazofanyika dar mwisho wa mwezi ujao


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Black is beautiful Beauty...
    Sophistication, Lips softer than a whisper.
    That’s what I see when I look into the face of a black sister.The curve of his chin.Blaaaack is beautiful...

    ReplyDelete
  2. wadudu wana ngozi lainiiiiiii, shwaini!!!!

    ReplyDelete
  3. Si mchezo watoto wa kinyarwanda wametuliaa....Mmependeza nyote.

    ReplyDelete
  4. Mi Ntatafuta Mchumba Rwanda,naona c Mchezo......!!!!!

    ReplyDelete
  5. Hapo kwa kaka Kagame kuna totos, yeuuuwii, wanapendeza wajameni. Naungana na huyo aliyesema black is beautful, watoto moto!!!ya ya ya ya.

    Mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  6. Wamependeza sana! Lakini mheshima Balozi naomba uangalie hizo tarehe za hizo picha! ni mwenye kamera hakurekebisha tarehe au.....?

    Lakini si mcheezo......

    ReplyDelete
  7. Tofauti kubwa ambayo mimi naona ni wao kutumia majina yao ya asili na sio kama walimbende wa kwetu kutumia majina yote ya kizungu! Eti akina Stella Pius, Agnes John, etc while we know those are the first names za baba zao! Wale walimbwende wa Eastern Europe wote hutumia majina yao yenyewe bila kuweka nakshi za kizungu - wa kwetu je, kunani?

    ReplyDelete
  8. BRO MICHU TUNAOMBA PICHA KUTOKA SWAZILAND, KWA MFALME KIJANA ANAYE ENDELEZA LIBEKE LA TOTOZ AMBAZO HAZIJAGUSWA.NIKIMALIZA SHULE LAZIMA NIPITIE HAPO NIKAMATE KIFAA NITUE NACHO JIJINI.
    MDAU,
    MASHARIKI YA MBALI

    ReplyDelete
  9. Mi nilikuwa nasikia Rwanda kuna madem wazuri leo ndo nimeaminia.....

    ReplyDelete
  10. basi naomba baada ya mambo yenu ya kusaka washindi wa rwanda watakao baki nipewe number!!!1

    ReplyDelete
  11. We acha tu Kigali si balaa....mi waga naenda huko kucheza football ila usipokuwa makini ukaangalia kwenye jukwaa mnafungwa magori mengi maana totoz ni full

    ReplyDelete
  12. Amakuru.....Nimeza

    ReplyDelete
  13. awa watoto ni wakwetu!wa nyarwanda ni wazuri na mimi navijuwa!tuko wa number 1!turabarya!tuzabatsinda!

    ReplyDelete
  14. watoto wa kwetu ni wazuri!mimi niko wa rwanda lakini tunajuwa na sisi kama wako wazuri sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...