
majaji wakimhoji mmoja wa washindani wa rwanda





Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Black is beautiful Beauty...
ReplyDeleteSophistication, Lips softer than a whisper.
That’s what I see when I look into the face of a black sister.The curve of his chin.Blaaaack is beautiful...
wadudu wana ngozi lainiiiiiii, shwaini!!!!
ReplyDeleteSi mchezo watoto wa kinyarwanda wametuliaa....Mmependeza nyote.
ReplyDeleteMi Ntatafuta Mchumba Rwanda,naona c Mchezo......!!!!!
ReplyDeleteHapo kwa kaka Kagame kuna totos, yeuuuwii, wanapendeza wajameni. Naungana na huyo aliyesema black is beautful, watoto moto!!!ya ya ya ya.
ReplyDeleteMdau ughaibuni
Wamependeza sana! Lakini mheshima Balozi naomba uangalie hizo tarehe za hizo picha! ni mwenye kamera hakurekebisha tarehe au.....?
ReplyDeleteLakini si mcheezo......
Tofauti kubwa ambayo mimi naona ni wao kutumia majina yao ya asili na sio kama walimbende wa kwetu kutumia majina yote ya kizungu! Eti akina Stella Pius, Agnes John, etc while we know those are the first names za baba zao! Wale walimbwende wa Eastern Europe wote hutumia majina yao yenyewe bila kuweka nakshi za kizungu - wa kwetu je, kunani?
ReplyDeleteBRO MICHU TUNAOMBA PICHA KUTOKA SWAZILAND, KWA MFALME KIJANA ANAYE ENDELEZA LIBEKE LA TOTOZ AMBAZO HAZIJAGUSWA.NIKIMALIZA SHULE LAZIMA NIPITIE HAPO NIKAMATE KIFAA NITUE NACHO JIJINI.
ReplyDeleteMDAU,
MASHARIKI YA MBALI
Mi nilikuwa nasikia Rwanda kuna madem wazuri leo ndo nimeaminia.....
ReplyDeletebasi naomba baada ya mambo yenu ya kusaka washindi wa rwanda watakao baki nipewe number!!!1
ReplyDeleteWe acha tu Kigali si balaa....mi waga naenda huko kucheza football ila usipokuwa makini ukaangalia kwenye jukwaa mnafungwa magori mengi maana totoz ni full
ReplyDeleteAmakuru.....Nimeza
ReplyDeleteawa watoto ni wakwetu!wa nyarwanda ni wazuri na mimi navijuwa!tuko wa number 1!turabarya!tuzabatsinda!
ReplyDeletewatoto wa kwetu ni wazuri!mimi niko wa rwanda lakini tunajuwa na sisi kama wako wazuri sana!
ReplyDelete