katibu mkuu wa umoja wa mataifa mh. ban ki moon akiwa na viongozi wa afrika katika mkutano wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa jamhuri ya kidemokrasia ya kongo uliofanyika nairobi. toka shoto ni rais yoweri kaguta museveni wa uganda, rais mstaafu wa burundi pierre buyoya, JK, rais mwai kibaki wa kenya, ban ki moon mwenyewe, rais paul kagame wa rwanda, pierre nkurunzinza wa burundi rais mstaafu wa nigeria olesegun obasanjo na rais joseph kabila wa drc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. mkuu wa wilaya ya nanihii caption ina walakini kutoka Rais mstaafu wa Nigeria anayefuata ni Jenerali Joseph Kabila wa DRC na siyo Pierre Nkurunzinza wa Burundi.

    ReplyDelete
  2. jamani wee anno wa kwanza una kifafa cha macho na maandishi??soma uelewe alaaaa!!
    ila duh hii safu haina "gender sensitivity"kbs wote midume??mboni wako viongozi wanawake wa mfano,,africa is africa

    ReplyDelete
  3. Mimi nadhani wewe anonym wa 6:33 una matatizo ya kisaikolojia, maelezo yapo sawa sawia. wewe tu macho yako.

    ReplyDelete
  4. Anony wa kwanza bwana!!!! we acha tu, inaonyesha kwa koran ndiyo mwenyewe. mambo ya kisegele nyuma.

    ReplyDelete
  5. hilo tapeli la kinaijeria mbona kavaa pazia!!!

    ReplyDelete
  6. Afu huyu Ban ki moon aliwahi kuwa gori kipa? naona kasimama ka kaseja

    ReplyDelete
  7. wee annon unaesema "kavaa pazia" ~~~""***@@@--++@@@ kabisa,,,iyo misuti ya ulaya ndo nini utumwa mtupuuu wehu kbs,,wezenu wavaa mavazi yako kiasili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...