

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
who is this super star kat? mimi sijawahi kumsikia na ni super star kutoka nchi gani? am just curious.
ReplyDeletemdau us.
Kata deluna ndio nani?
ReplyDeletemichuzi bana.. sasa unatoa ref kwenye wikipedia kama huyua wikipedia ni nini? Ngoja nikusaidie http://www.katdeluna.com/
ReplyDeleteMimi naishi Marekani kwenye moja ya miji mikubwa. Mwanamuziki huyu aliyekuja Bongo sijawahi kumsikia.Naomba waosha vinywa mnisaidie.
ReplyDeleteMbeba mabox mkongwe.
Hu ze hel iz kat deluna?...seriously though, huyu ndo nani?, some bootleg celebrity singer wanna be?
ReplyDeleteNaishi USA -NY lakini wala sijawahi kumsikia. Yaani nilizania ni super star kutoka nchi nyingine mara nimesoma naona NJ, NY.
ReplyDeleteMweee labda huko ni super star lakinihuku bado hajafikia huo usuperstar
nyinyi wabeba mabox wachovu wacheni kujifanya na kujiona mmewahi kwani lazima mwanamuziki mpaka mumjue nyie ndo awe maarufu huko USA.Ikiwa hammjui kat deluna na nyimbo zake maarufu kama "run the show" aleyomshirikisha mtu mzima busta rhymes itakuwa nyinyi sio wafuatiliaji wa mambo ya mziki kabisaaa labda nyie zenu mambo ya kina obama tu!! washamba wamoja nyie!!!
ReplyDeleteapo juu mbona mnakua ka sio WAJINGA vile.....kina BUSTA RHYMES wenyewe wanamjua KAT ni nani nyie ndo mnajifanya viziwi/vipofu!!
ReplyDeletehahahah mnafurahisha kukaa US sio kujua kila kitu;inategemea na nyinyi mnasikiliza aina gani ya mziki ,mshawahi kusikia mziki unitwa WHINE UP??? just coz u dont know her doesnt mean she isnt a star !! mtu anejua mziki atakua kesha mtambua!!!
ReplyDeleteDuh...beauty and beast!!!
ReplyDeleteKat Deluna is a latin american superstar.. ameimba whine up na elephant man, na run de show na busta rhymes. kwakweli bado chipukizi sana,hata nyimbo zake hazifiliki ki vile
ReplyDeletembeba box mkongwe we unakaa mji gani mkubwa usiopiga nyimbo zake?au ni wewe binafsi mshamba?LOL..jokes mwanangu
Ndugu yangu mpiga box mkongwe, chondechonde, usitudhalilishe wapiga box!! kama hujui jambo acha, tutakuja onekana wapiga box wote wakuja ndugu yangu. @@@mba~~~ff@@!!!! XCHWIIII.....@@%$€£. kama hujui kaa kimya, ???Punda~~## milia????<<>>>mkubwa we!!
ReplyDeleteMpiga Box
sasa buster rhymes kumjua au kuimba naye ndio superstar jamani acheni porojo. Basi hollywood yote watu wote wangekua superstar.
ReplyDeleteTafuteni maana ya usuperstar kwanza kabla ya kumwita kila muimbaji, mcheza cinema superstar. Sio kila mtu ebo ni superstar.
Unaweza ukawainterviewed kwenye magazeti ya muhimu na wala usiitwe superstar. Kutoa nyimbo moja ikawin tu sio kigezo cha kuwa superstar.
Poleni
dah...hivi mpini wa kat deluna aliomshirikisha akon ndio hamuujui?
ReplyDeleteAm I Dreaming unaitwa!
hemu utafute umsikie mtoto kat deluna....
hiyo mbona ni demonstration of control handshake? au nakosea jamani wataalam wa types of handshakes.
ReplyDeletesasa nyie wabeba box na kuosha vyombo, kweli sasa hivi mna shida sana hata kat deluna , mnashindwa kumjua!!!!!!!!!! Bongo mambo shwali , Masikini weeee labda Obama awasaidie maana MMMMMMMMMMM!!
ReplyDeleteWabeba mabox bwana,watu wenye shida utawajua tu,sisi Bongo hatupigi sana kazi na tunapata kula,kuvaa,kujenga,kuendesha,muda wa kuangalia tv tunao,na hatuna haja ya kulipia license ya Tv,
ReplyDeleteSasa nyie uyo Muda hakuna na inawezekana hamna TV majumbani kwenu,kama mnabisha semeni.Msitake kubishana na wala vumbi wanaopiga kazi kimahesabu na kutembelea kwenye viyoyozi ili vumbi lisiwapiga,
Mngekuwa na TV na mna weza kulipia TV
Hasilani mngekuwa mnamfahamu uyu mwanamuziki,pigini Box tu na muwe na akili za kuja kujenga na kufanya biashara Bongo ili na nyinyi muweze kuienjoi LIFE tulilonalo,
Sio kujidai Ufyolo hapa hata uyu Kat D ni nani,nyie mnawajua wanamuziki wa zamani tu mlioocha mnawafahamu Bongo,labda kina Jay Z,B rymes n.k,
Poleni sana,
Kwa taarifa yenu hapa Affrica huyu dada anajulikana hadi Uswazi na nyimbo zake zinaimbwa na watoto na watoto wanafaulu vile vile.
endeleeni kubeba box tu uko,lakini mkumbuke kusave.alaaaaaa
Kuna kaka alikuja toka US last year,
ReplyDeleteunaambiwa mwenyewe hajaja Bongo kama miaka 10 ivi.na yeye alikuwa na lengo la kutesa wabongo kama katoka kwa kweli Lo! mbona aliumbuka kaja laptop yake akidhani ni vitu vya adimu sana Bongo,akashangaa kukuta kila mtu anayo yake.
akaja na raba zake na matshirt na nanini macheni,kakuta washkaji,wametulia kiofisi sasa wakawa wanamuona Mshkaji wao vipi mbona anavaa kama watoto wa Shule,baada ya wiki mwenyewe kakubali na kubadilika na kukiri Bongo sasa si mchezo.
Ni hayo Tu,kwa iyo na nyinyi msirogwe kuja na speed bila kupima barabara ikoje mbele.
Ni hayo tuuuuuuuuuuu
mmmmh!! uyu kijana sijui mume wa mtu,,,aya
ReplyDeleteWe anon November 11, 2008 4:33 PM.
ReplyDeletejamaa inasemekana ana minyenyele, shauri yako