kAKA Misupu,
Mimi ni mdau mkongwe lakini mgeni kwa kukuandikia.Kunajamaa Chibiliti, ameomba misemo/ methali zihusuzo watoto.
1. Mtoto akililia wembe mpe.
2. Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio
3. Samaki mkunje angali mbichi
Kila la kheri
Mdau Fredrikstad City

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. MWANA ASIESIKIA MZIGO USIMTUE, UKISHAMUELEMEA MUHIMIZE AUCHUKUE UKIMCHA MWANA KULIA UTALIA WEWE.

    KUMCHA - NI KAMA KUOGOPA/KUNYENYEKEA

    ReplyDelete
  2. Mtoto umeavyo ndivyo akuavyo.
    Asiye na mwana aeleke jiwe.

    ReplyDelete
  3. MTOTO AKILILIA WEMBE MPE UMKATE

    ReplyDelete
  4. Mtoto akinyea mavi mkono usiukate, bali usuuze.

    ReplyDelete
  5. Asiye la mkuu, huvunjika guu

    ReplyDelete
  6. Mtoto hakui kwa mama

    ReplyDelete
  7. Mtoto akikaa uchi mpe hela akanunue chupi, mkubwa akikaa uchi mpe hela akanunue kiwembe

    ReplyDelete
  8. Mtoto anaenda haja ndogo, lakini mkubwa anakojoa

    ReplyDelete
  9. Uchungu wa mwana aujuae mzazi Bush Queen

    ReplyDelete
  10. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu

    ReplyDelete
  11. Mtoto wa nyoka ni nyoka

    ReplyDelete
  12. Mwana akinyea kiweo hakikatwi.

    ReplyDelete
  13. HAHAHAHAHAAAA,TIH TIH TIH
    JAMANI WATU WENGINE NA STRESS ZAO??KARAHA TUPU SAA NDO NINI HII MITUSI??
    kwamba,,,,hamjui kiswahili au???izi tungo zimetoka wapi??

    ReplyDelete
  14. Mtaka cha uvunguni sharti inua matanda,Simba mwenda pole ipo gonjwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...