kAKA Misupu,
Mimi ni mdau mkongwe lakini mgeni kwa kukuandikia.Kunajamaa Chibiliti, ameomba misemo/ methali zihusuzo watoto.
1. Mtoto akililia wembe mpe.
2. Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio
3. Samaki mkunje angali mbichi
Kila la kheri
Mdau Fredrikstad City
MWANA ASIESIKIA MZIGO USIMTUE, UKISHAMUELEMEA MUHIMIZE AUCHUKUE UKIMCHA MWANA KULIA UTALIA WEWE.
ReplyDeleteKUMCHA - NI KAMA KUOGOPA/KUNYENYEKEA
Mtoto umeavyo ndivyo akuavyo.
ReplyDeleteAsiye na mwana aeleke jiwe.
MTOTO AKILILIA WEMBE MPE UMKATE
ReplyDeleteMtoto akinyea mavi mkono usiukate, bali usuuze.
ReplyDeleteAsiye la mkuu, huvunjika guu
ReplyDeleteMtoto hakui kwa mama
ReplyDeleteMtoto akikaa uchi mpe hela akanunue chupi, mkubwa akikaa uchi mpe hela akanunue kiwembe
ReplyDeleteMtoto anaenda haja ndogo, lakini mkubwa anakojoa
ReplyDeleteUchungu wa mwana aujuae mzazi Bush Queen
ReplyDeleteAsiye sikia la mkuu, huvunjika guu
ReplyDeleteMtoto wa nyoka ni nyoka
ReplyDeleteMwana akinyea kiweo hakikatwi.
ReplyDeleteHAHAHAHAHAAAA,TIH TIH TIH
ReplyDeleteJAMANI WATU WENGINE NA STRESS ZAO??KARAHA TUPU SAA NDO NINI HII MITUSI??
kwamba,,,,hamjui kiswahili au???izi tungo zimetoka wapi??
Mtaka cha uvunguni sharti inua matanda,Simba mwenda pole ipo gonjwa
ReplyDelete