hee... leo mtaani kwangu watanikoma. bonny luv amerejea bongo toka marekani na kaniletea kazawadi ka fulanzzz na raba mtoni toka kwa mdau wa old skul. nashukuru sana mdau, nami nimeingia studio ya bonny luv kutoa singo ya kukushukuruni. kaeni mkao wa kula. itaitwa 'ze fulanazzzzzzz katika miondoko ya chacha



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Forman Mills, Value City,Wal mart, City blue(doubt it)

    ReplyDelete
  2. Mzee michu usituyeyu..ilo gitaa umeshikilia kama umeshika pipi bwana...Anyway aminia angalia singo isije kawa kama ya Kingwendu.Ongera kwa ze Fulanazzzz

    ReplyDelete
  3. HUJATULIA MICHU dah
    umenchekesha saaaana ya n wee zinga la msanii
    ushalivaa ze fulanazzz na uko studio???uirushe radioni iyo singo tufe mbavu
    hahaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Kwa hiyo kuanzia sasa timu yako ya mtu mmoja itakuwa na jezi pair mbili?

    ReplyDelete
  5. Bro ze Fulanazzzzzzzzzzz ni sazii ngapi? ili wadau watume tano zaidi kukava wiki siunajuazzzzzz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...