Home
Unlabelled
beneti na wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jump around naona upo bongoo!umetuliaa...
ReplyDeletemdau wa chuo kikuu
we Michuzi hulali akhhh...
ReplyDeleteAah mwanawane Martin Elia (Jump Around) mbona unaingia kimya kimya?? Obama hajambo?? Long time mtu wangu. Naskia BONGE S.Ma...mbi mlikuwa nae huko (Mtoto wa Muheshimiwa chama cha upinzani)big upu mwana karibu saana Bongo Tambarare.Mussy M hajambo?
ReplyDeleteJump Around mbona unazeeka hivyo mtu wangu, H-Town hakukufai.
ReplyDeletehahaha hahaha ! jum jum jum jum jump around jamani mmmh umenikumbusha mbaliiiiiiiiiiii
ReplyDeleteAlfred uko wapi kaka? siku nyingi hatujawasiliana tangu enzi zileee za O-Level Tambaza na A-Level mji kasoro bahari, tuwasiliane mzee tukumbushane ya kale!: a_viriyala@hotmail.com
ReplyDeleteAlfred uko wapi kaka? siku nyingi hatujawasiliana tangu enzi zileee za O-Level Tambaza na A-Level mji kasoro bahari, tuwasiliane mzee tukumbushane ya kale!: a_viriyala@hotmail.com
ReplyDeletewee martin wee umeondoka kimya kimya hujaaga?uliogopa kubebeshwa mizigo ya viatu???????
ReplyDeletejump jump jump around....
Bongo bwana watu hawashtuki sana utoke NY utoke London,uvae GUCCI,COOGI,WHATVER IT IS that make you happy Bongo people don't care. Sikuhizi susha kontena zako za matrekta nenda kijijini badala ya kuzunguka mjini na vitshirt vyako vya Macy's. Au Ingia benki na titles onyesha una own majumba huko Marekani sio unalipa mortgage.
ReplyDeleteOnyesha una collateral ya kuweza kutetemesha benki za Bongo zikupe mkopo wa biashara kama $5-$100 million hapo ndio utaeleweka kijana kweli umekuwa mtu mzima sasa na kichwani zimo.Tuache utoto wa kuvaavaa vicheni njaa shingoni na hereni masikioni. Hio si fashion nzuri kuigwa.
Sasa Brother Elia hata mimi dada yako ujaniaga,tuwasiliane basi hata uniletee vya kutoka bongo wakati unarudi.(viungo vya pilau)
ReplyDeleteYour sister
DALLAS.
JP, Mzee wa UDASA - FULL Kurepresent Mlimani, CHUO... Enjoy mzee, Maisha mafupi hayaa....
ReplyDeleteSasa wewe Anony wa 6:57 PM Unamaana gani? waache watu wale maisha...kinachokuuma ww nini kama mtu akivaa chain, or ear-rings?? or t-shirt ya Macy's?? Do you have a Collateral, or a paid off house in the US? Jinsi unavyoongea inaonyesha kabisaaa hujawahi kutoka nje ya bongo, No exposer kabisaa.... Safiri kidogo na wewe uone mambo
ReplyDeleteNotice one thing ot this string of comments, you are the ONLY ONE with Negative comment here...
Wadau kina Jump endeleeni Kukamua!!!
wewe uliyeponda sana watu toka nje una lako jambo, ama ulinyimwa visa? au ulikua nje ukawa deported, au una visa na hao jamaa, ni kweli hakuna tena geni hapa nyumbani kwa wanaotoka nje lakini pia hakuna tena jipya kwa anayeishi nyumbani yote maisha, mtu kavaa kitu gani au kafanya jambo gani ni yeye mwenywewe na si business ya mtu, sasa inakuaje uende nje ya mada? au ulitamani sana kuwa wao na imeshindikana? na hata kama wamevaa cheni za namana gani ni life yao na si yako, hata wewe una system ya maisha yao so leave them alone, and get a life, kwa yoyote atakaesoma maoni haya simjui hata mmoja wao hapo japo naona wanajulikana sana ila jamaa ameniudhi kuandika ujinga wake humu, na mtu wa namna hii hata kushirikiana nae ni hatari aogopwe kama ukoma, hebu atueleze yeye maisha yake yakoje. mjinga sana huyu, tafadhali achana na watu walio nje ya nchi kama ni UK au USA ama kokote kule, waache na maisha yao, wewe si mzazi wao wa kuwaamulia wakija nyumbani waje vipi au na nini, Please go back to standard one and start a fresh, ur so ignorant, and forever u will be.
ReplyDeleteMnafikiri mi nna unlimited entry kuja huko mliko na pia sina mda wa kupoteza.MNacheza!
ReplyDeleteDUH, NAONA WASHIKAJI WAMEKUJA KUPUMZISHA HIYO MIGONGO MAANA MABOX SIO MCHEZO. KULENI RAHA ILA MSISAHAU MABOX YANAWASUBIRI!!
ReplyDeleteJump-around kanogewa tayari na vimwana wa bongo nini? Maana nakumbuka toka summer alikuwa huko!! Niaje bro? Kuna mpango wowote ulionao nini?
ReplyDeleteUliambiwa wote wanaoenda Marekani au Ulaya wanaenda kutafuta nyumba za kuishi na kupata hela za kuja kuringishia wabongo? Wenzio wanatafuta kinachowatosha, na wakirudi bongo wanabomoa na kuvaa kile wanachotaka!! Uliambiwa na nani kuvaa earring ni kuiga watu? Huwaoni wamasai, wahindi, wangoni na other tribes wewe umewaona walioenda mbele tu? Halaf inaonyesha wewe ni mmoja wa wale walienda pale na kurudishwa na makaratasi yenu ya mwaliko wa rafiki au vi-scholarship vyenu vya vichuo mnavyovipata Google...
ReplyDeleteUnaijua Macy's ama Unaisikia wakirudi watu wakakuhadithia? Ama umeigoogle nini? LOL
ReplyDeleteJamaa anafurahisha huyu anony wa 7;47..!! Hebu fuatilia yanayokuhusu!
6:47 roho ya korosho ...utakufa siku si zako....Yooote uliyoandika ya kuadithiwa tu? ....Wewe kuonyweshwa picha tu ohhh sijui macy's who cares?
ReplyDeleteSome Wabongo mna mda mchafu sana...ni mtoto wa jirani huyo nini....???? manake watu wengi wenye chuki ni wale walio na majirani ambao watoto wao wameruka lakini watoto wao wakubwaaaaa bado wanaishi nyumbani tu. Kila kukicha wapo wapo tu kazi wanazo lakini nyumbani hawahami. Hasira za nini?
Anony 2:49 mbona unachemka! Jump around alianza kuzeeka toka darasa la nne,lakini uzuri ni kwamba uzee wake upo palepale mbaka leo...kama mimi muongo mtafute Bie atakueleza.
ReplyDeleteJump nimefurahi kukuona bwana nasikia ulikuwa Columbus? Umenikumbusha Forest Hill -Moro ndugu yangu...
ReplyDeleteMdau Dallas
weee izo ndevu ndo nini???
ReplyDeleteila michu kwa masheuzi???
hahahahahahahahahha JUMP AROUND mzee wa UDASAAAA kumbe upo bongo umejichimbia KALA BASKUTI!!!!!! tutakusakanya tukupate aisee unakula bata tu. michuzi nae kwa kujipendekeza//eh huyo pembeni ni frank M?huyu madevu bado sijamuelewa elewa..
ReplyDeleteHUYO ANONYMOUS WA Tarehe December 12, 2008 6:47 PM ana roho ya kwa nini?
ReplyDeletekwanza hapo mi sijaona mtu kavaa t shirt ya macy's kwa taarifa yako huyo jamaa wa kwanza kushoto kavaa local brand inaitwa WAKAWAKA ni label ya mbongo,UPO? na yeye mwenyewe huwa anavaaga label zake(GONGA wear) yeye pia ni designer wa kibongo anaishi UK!
acha kurukia vitu visivyokuhusu wewe umekuwa pilato unaanza kuwahukumu wadau bila sababu?
HI HATER!
mdau sweden