usiku wa kuamkia leo pale sweet easy nilibahatika kukutana na wadau hawa toka ukerewe na h-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Jump around naona upo bongoo!umetuliaa...
    mdau wa chuo kikuu

    ReplyDelete
  2. we Michuzi hulali akhhh...

    ReplyDelete
  3. Aah mwanawane Martin Elia (Jump Around) mbona unaingia kimya kimya?? Obama hajambo?? Long time mtu wangu. Naskia BONGE S.Ma...mbi mlikuwa nae huko (Mtoto wa Muheshimiwa chama cha upinzani)big upu mwana karibu saana Bongo Tambarare.Mussy M hajambo?

    ReplyDelete
  4. Jump Around mbona unazeeka hivyo mtu wangu, H-Town hakukufai.

    ReplyDelete
  5. hahaha hahaha ! jum jum jum jum jump around jamani mmmh umenikumbusha mbaliiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  6. Alfred uko wapi kaka? siku nyingi hatujawasiliana tangu enzi zileee za O-Level Tambaza na A-Level mji kasoro bahari, tuwasiliane mzee tukumbushane ya kale!: a_viriyala@hotmail.com

    ReplyDelete
  7. Alfred uko wapi kaka? siku nyingi hatujawasiliana tangu enzi zileee za O-Level Tambaza na A-Level mji kasoro bahari, tuwasiliane mzee tukumbushane ya kale!: a_viriyala@hotmail.com

    ReplyDelete
  8. wee martin wee umeondoka kimya kimya hujaaga?uliogopa kubebeshwa mizigo ya viatu???????

    jump jump jump around....

    ReplyDelete
  9. Bongo bwana watu hawashtuki sana utoke NY utoke London,uvae GUCCI,COOGI,WHATVER IT IS that make you happy Bongo people don't care. Sikuhizi susha kontena zako za matrekta nenda kijijini badala ya kuzunguka mjini na vitshirt vyako vya Macy's. Au Ingia benki na titles onyesha una own majumba huko Marekani sio unalipa mortgage.
    Onyesha una collateral ya kuweza kutetemesha benki za Bongo zikupe mkopo wa biashara kama $5-$100 million hapo ndio utaeleweka kijana kweli umekuwa mtu mzima sasa na kichwani zimo.Tuache utoto wa kuvaavaa vicheni njaa shingoni na hereni masikioni. Hio si fashion nzuri kuigwa.

    ReplyDelete
  10. Sasa Brother Elia hata mimi dada yako ujaniaga,tuwasiliane basi hata uniletee vya kutoka bongo wakati unarudi.(viungo vya pilau)
    Your sister
    DALLAS.

    ReplyDelete
  11. JP, Mzee wa UDASA - FULL Kurepresent Mlimani, CHUO... Enjoy mzee, Maisha mafupi hayaa....

    ReplyDelete
  12. Sasa wewe Anony wa 6:57 PM Unamaana gani? waache watu wale maisha...kinachokuuma ww nini kama mtu akivaa chain, or ear-rings?? or t-shirt ya Macy's?? Do you have a Collateral, or a paid off house in the US? Jinsi unavyoongea inaonyesha kabisaaa hujawahi kutoka nje ya bongo, No exposer kabisaa.... Safiri kidogo na wewe uone mambo

    Notice one thing ot this string of comments, you are the ONLY ONE with Negative comment here...

    Wadau kina Jump endeleeni Kukamua!!!

    ReplyDelete
  13. wewe uliyeponda sana watu toka nje una lako jambo, ama ulinyimwa visa? au ulikua nje ukawa deported, au una visa na hao jamaa, ni kweli hakuna tena geni hapa nyumbani kwa wanaotoka nje lakini pia hakuna tena jipya kwa anayeishi nyumbani yote maisha, mtu kavaa kitu gani au kafanya jambo gani ni yeye mwenywewe na si business ya mtu, sasa inakuaje uende nje ya mada? au ulitamani sana kuwa wao na imeshindikana? na hata kama wamevaa cheni za namana gani ni life yao na si yako, hata wewe una system ya maisha yao so leave them alone, and get a life, kwa yoyote atakaesoma maoni haya simjui hata mmoja wao hapo japo naona wanajulikana sana ila jamaa ameniudhi kuandika ujinga wake humu, na mtu wa namna hii hata kushirikiana nae ni hatari aogopwe kama ukoma, hebu atueleze yeye maisha yake yakoje. mjinga sana huyu, tafadhali achana na watu walio nje ya nchi kama ni UK au USA ama kokote kule, waache na maisha yao, wewe si mzazi wao wa kuwaamulia wakija nyumbani waje vipi au na nini, Please go back to standard one and start a fresh, ur so ignorant, and forever u will be.

    ReplyDelete
  14. Mnafikiri mi nna unlimited entry kuja huko mliko na pia sina mda wa kupoteza.MNacheza!

    ReplyDelete
  15. DUH, NAONA WASHIKAJI WAMEKUJA KUPUMZISHA HIYO MIGONGO MAANA MABOX SIO MCHEZO. KULENI RAHA ILA MSISAHAU MABOX YANAWASUBIRI!!

    ReplyDelete
  16. Jump-around kanogewa tayari na vimwana wa bongo nini? Maana nakumbuka toka summer alikuwa huko!! Niaje bro? Kuna mpango wowote ulionao nini?

    ReplyDelete
  17. Uliambiwa wote wanaoenda Marekani au Ulaya wanaenda kutafuta nyumba za kuishi na kupata hela za kuja kuringishia wabongo? Wenzio wanatafuta kinachowatosha, na wakirudi bongo wanabomoa na kuvaa kile wanachotaka!! Uliambiwa na nani kuvaa earring ni kuiga watu? Huwaoni wamasai, wahindi, wangoni na other tribes wewe umewaona walioenda mbele tu? Halaf inaonyesha wewe ni mmoja wa wale walienda pale na kurudishwa na makaratasi yenu ya mwaliko wa rafiki au vi-scholarship vyenu vya vichuo mnavyovipata Google...

    ReplyDelete
  18. Unaijua Macy's ama Unaisikia wakirudi watu wakakuhadithia? Ama umeigoogle nini? LOL

    Jamaa anafurahisha huyu anony wa 7;47..!! Hebu fuatilia yanayokuhusu!

    ReplyDelete
  19. 6:47 roho ya korosho ...utakufa siku si zako....Yooote uliyoandika ya kuadithiwa tu? ....Wewe kuonyweshwa picha tu ohhh sijui macy's who cares?

    Some Wabongo mna mda mchafu sana...ni mtoto wa jirani huyo nini....???? manake watu wengi wenye chuki ni wale walio na majirani ambao watoto wao wameruka lakini watoto wao wakubwaaaaa bado wanaishi nyumbani tu. Kila kukicha wapo wapo tu kazi wanazo lakini nyumbani hawahami. Hasira za nini?

    ReplyDelete
  20. Anony 2:49 mbona unachemka! Jump around alianza kuzeeka toka darasa la nne,lakini uzuri ni kwamba uzee wake upo palepale mbaka leo...kama mimi muongo mtafute Bie atakueleza.

    ReplyDelete
  21. Jump nimefurahi kukuona bwana nasikia ulikuwa Columbus? Umenikumbusha Forest Hill -Moro ndugu yangu...
    Mdau Dallas

    ReplyDelete
  22. weee izo ndevu ndo nini???
    ila michu kwa masheuzi???

    ReplyDelete
  23. hahahahahahahahahha JUMP AROUND mzee wa UDASAAAA kumbe upo bongo umejichimbia KALA BASKUTI!!!!!! tutakusakanya tukupate aisee unakula bata tu. michuzi nae kwa kujipendekeza//eh huyo pembeni ni frank M?huyu madevu bado sijamuelewa elewa..

    ReplyDelete
  24. HUYO ANONYMOUS WA Tarehe December 12, 2008 6:47 PM ana roho ya kwa nini?
    kwanza hapo mi sijaona mtu kavaa t shirt ya macy's kwa taarifa yako huyo jamaa wa kwanza kushoto kavaa local brand inaitwa WAKAWAKA ni label ya mbongo,UPO? na yeye mwenyewe huwa anavaaga label zake(GONGA wear) yeye pia ni designer wa kibongo anaishi UK!
    acha kurukia vitu visivyokuhusu wewe umekuwa pilato unaanza kuwahukumu wadau bila sababu?
    HI HATER!
    mdau sweden

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...