Mheshimiwa Balozi wa Zain,
Kwa heshima na taadhima pokea pcha hizi za Mwezi na Nyota Mbili zikiwa sambamba leo
Siku ya 1st December 2008.
Picha zimepigwa maeneo ya Gerezani,Kidongo Chekundu, Dar. Hapana shaka wadau wanazuoni watatutafsiria maana ya tukio hili adimu.
Zimepigwa saa 8.35 pm na
Mdau MohammedulBaqir N Kalimi
Dar es Salaam,
Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Habari za saa hizi wadau. Hizo ni sayari za VENUS na JUPITER. ambapo zimetokea kuwa sambamba. Hii haitatokea tena mpaka tarehe 18/11/2052. Ila Mwezi na VENUs zitajipanga tena tarehe 31/12/2008. Jiandaeni kukodolea.

    ReplyDelete
  2. NYIE NDO WALE WALE MNAO KUBALI KILA KITU WAZUNGU WANAWAMBIA. ATA LAKE VICTORIA MNAKUBALI ETI WALIGUNDUA WAO WAKATI FID Q ALIKUA ANAOGELEA NA KUVUA MAPANKI PALE KABLA ATA MTEMI MAZENGO NA MKWAWA HAWAJAZALIWA.

    MI NATAFSIRI KWAMBA NI MUNGU ANASEMA KUA ANGALIENI NYIE MAFISADI MNAO ENDELEA, NILI WAAMBIA NAWAANGALIA. I,M WATCHING YUUUUU!!!! SAIVI WANAKOSA DHAMANA. NA BADO ATUJAPATA OBAMA WA KIBONGO WE NGOJA TU.

    SHAULAKO PLUS PLUS......

    ReplyDelete
  3. Bro hata huku kwa mzee madiba kusini mwa africa hizo nyota na mwezi tumeziona,badae nikapata call ya rafiki yangu toka bongo akanitel kuhusu hizo nyota nikamtel hata huku tumeziona.I wont 4 get this day coz whenever i celebrate AIDS day it will remind me of that amazing stars.Kazi nje broo!

    ReplyDelete
  4. kwetu kule tunasema hivyo ni vijicho vya kibohora...au siyo!

    ReplyDelete
  5. kwa wale wadau wa Malaysia na China watakuwa wamezifaidi vizuri sana jana! maana zilikuwa juu ya mwezi zikitengeneza smiling face..... kama mtu mwenye macho mawili na mdomo wa kutabasamu......

    ReplyDelete
  6. Jamani kuna watoto wanakuja hapa kujifunza. Sayari na nyota zinategemea mwanga wa jua na hizo sayari zote mbili moja ipo mbele yetu kuelekea jua na nyingine nyuma yetu. Nimejaribu kufikiria ni kivipi tukaziona zote kwa wakati mmoja nimeshindwa kuelewa. Mnapotosha watu na uongo wenu.

    ReplyDelete
  7. sasa mdau wa 1:13, ujumbe huu wa mwezi na nyota unahusiana nini na wazungu? Naomba unisaidie ndugu yangu.

    Mdau wa 6:06 naomba nikukumbushe kidogo. Nyota hazitegemei mwanga wa jua. Kila nyota ina mwanga wake asilia, na jua ni mojawapo ya nyota

    ReplyDelete
  8. HATA SISI MBEY ATULIONA HIVYO HIVYO!!

    ReplyDelete
  9. ILIYO MKONO WA KUSHOTO NI JUPITER KATI NI MWEZI NA KULIA NI VENUS.KAMA UMEKUWA UNATAZAMA ANGA ZIMEKUWA ZIKIONEKANA KWA MUDA MREFU SASA.JUPITER ILIKUWA JUU SANA.TAREHE 07/12/2008 ZINATEGEMEWA KUWA KATIKA USAWA MMOJA MFANO ***.NADHANI NIMEELEWEKA

    ReplyDelete
  10. muheshimiwa uliyesema vijicho vya kibohora unamaana gani?

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli I am so excited, ktk nchi za watu huwa wannatangaziwa mapema na wanakaa kusubiria matukio kama haya, sisis tunatangaziwa vikishapita, hawa watuwa hali ya hewa na astronomists wanafanya nini? Maana hizi ndo kazi zao ati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...