msemaji wa wizara ya maliasili na utalii george matiko akionesha madhara yaliyoitokana na moto baada ya ofisi ya waziri na sehemu ya ofisi ya katibu mkuu kuungua usiku kuamkia leo. chanzo cha moto inaadhaniwa ni hitilafu ya umeme, na uchunguzi unafanyika na wataalamu kubaini nini hasa kilichosababisha moto huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hivi mbona serikali yetu bado ya kijima sana?. Ofisi ya serkali inakosa fire combating systems?. Hapo watakwambia kumbukumbu zote zimeungua. Yale yale

    ReplyDelete
  2. Damn!!!! mmeona muuchome ushahidi ee?

    ReplyDelete
  3. Wameshaiba!!! Ushahidi umeunguzwa!

    ReplyDelete
  4. Hapo lazima kuna maroroso yatakuwa yamefanyika ili kuharibu vithibiti.Hizo office huwa wapo makini sana na swala la moto/hitilafu za umeme. Ninavyohisi hapo lazima kuna madudu yatakuwa yalianza kufuka!!

    ReplyDelete
  5. Darn it!!! Walipa kodi tumeumizwa...yetu macho tu ma masikio.

    ReplyDelete
  6. inaniuma saaaaan!! its really killing me
    jaman huu UHUNI utaisha lini???kweli ofisi 2 tuuu ndo ziungue afu no system ya kuzima moto ofisi nyeti km hii??
    yani ule ufisadi wa "vitalu vya kuwindia" ###''@@**"--#~~ zao sana awa
    yaleyale ikulu ilipoungua,,,hahaaaa

    ReplyDelete
  7. Afu mbona hizi ofisi za serikali haziunguagi kule jikoni au moto kwa nini usianzie kwenye makarakana.. kila siku unaanzia kenye ofisi nyetu. Kwa kuwatia akili hata hiyo BENDERA YA TAIFA imegoma kuungua ili kutuwakilisha!

    ReplyDelete
  8. TAFADHALINI sana,mliona wapi ofisi inaungua na kiti kinabaki?mbona bendera haikuungua wala rangi kubabuka?halafu hata ngozi isiungue?mmh au huu moto ulitumwa kwenye mafaili tuu?kuna ukweli hapo jamani au ndo kufanyana watoto ambao hawajui kitu?
    michuzi usibane hii wape watu ufumbuzi juu ya hili kwa kuweka comment hii.
    Tanzania lazima tufungue macho jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...