Home
Unlabelled
ofisi ya waziri wa utalii ilivyoungua na moto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi mbona serikali yetu bado ya kijima sana?. Ofisi ya serkali inakosa fire combating systems?. Hapo watakwambia kumbukumbu zote zimeungua. Yale yale
ReplyDeleteDamn!!!! mmeona muuchome ushahidi ee?
ReplyDeleteWameshaiba!!! Ushahidi umeunguzwa!
ReplyDeleteHapo lazima kuna maroroso yatakuwa yamefanyika ili kuharibu vithibiti.Hizo office huwa wapo makini sana na swala la moto/hitilafu za umeme. Ninavyohisi hapo lazima kuna madudu yatakuwa yalianza kufuka!!
ReplyDeleteDarn it!!! Walipa kodi tumeumizwa...yetu macho tu ma masikio.
ReplyDeleteinaniuma saaaaan!! its really killing me
ReplyDeletejaman huu UHUNI utaisha lini???kweli ofisi 2 tuuu ndo ziungue afu no system ya kuzima moto ofisi nyeti km hii??
yani ule ufisadi wa "vitalu vya kuwindia" ###''@@**"--#~~ zao sana awa
yaleyale ikulu ilipoungua,,,hahaaaa
Afu mbona hizi ofisi za serikali haziunguagi kule jikoni au moto kwa nini usianzie kwenye makarakana.. kila siku unaanzia kenye ofisi nyetu. Kwa kuwatia akili hata hiyo BENDERA YA TAIFA imegoma kuungua ili kutuwakilisha!
ReplyDeleteTAFADHALINI sana,mliona wapi ofisi inaungua na kiti kinabaki?mbona bendera haikuungua wala rangi kubabuka?halafu hata ngozi isiungue?mmh au huu moto ulitumwa kwenye mafaili tuu?kuna ukweli hapo jamani au ndo kufanyana watoto ambao hawajui kitu?
ReplyDeletemichuzi usibane hii wape watu ufumbuzi juu ya hili kwa kuweka comment hii.
Tanzania lazima tufungue macho jamani.