nilifurahishwa kukuta kufuli la 'viro' la kiasili mitaa ya magu. niliambiwa hapo ukijifanya mjanja na kuingia kuiba utajuta, maana kama hukushushwa nanihii unajaa tumbo hadi urudishe ulichoiba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duh najaribu kupiga picha kama kila nyumba ya mitaa ya manzese hivi ingekuwa na viro kama hiyo?..
    Bila shaka hapo ndo tungeona maisha bora kwa kila mtanzania

    ReplyDelete
  2. Haaa, ha, ha haaaaaaaa! Balozi umenifurahisha sana hiyo picha. Duuu! teh, teh teheee he heeee


    Mpiga Box

    ReplyDelete
  3. NIMEIPENDA HII NYUMBA INAONYESHA MMILIKI WAKE HAPENDI MWANGA WA ASILI AKIWA NDANI KWASABABU DIZAINI YA HAYO MADILISHA NI MPYA KABISA.

    ReplyDelete
  4. hapo enzi zetu tunakojolea mlango tunakula vitu vote ndani tumbo halivimbi wala nini lazima aingie dukani mwenyewe kupata viro halisi

    ReplyDelete
  5. Hiyo unayoita kufuli la viro huku Pwani tunaiita boi ya kusongea ugali na kule Tabora Wanyamwezi wanaiita mpanti wa kushikia sufuria wakati unasonga ugali.Dooh hivi vitu adimu siku hizi kuviona huku mjini...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...