Home
Unlabelled
viro asilia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh najaribu kupiga picha kama kila nyumba ya mitaa ya manzese hivi ingekuwa na viro kama hiyo?..
ReplyDeleteBila shaka hapo ndo tungeona maisha bora kwa kila mtanzania
Haaa, ha, ha haaaaaaaa! Balozi umenifurahisha sana hiyo picha. Duuu! teh, teh teheee he heeee
ReplyDeleteMpiga Box
NIMEIPENDA HII NYUMBA INAONYESHA MMILIKI WAKE HAPENDI MWANGA WA ASILI AKIWA NDANI KWASABABU DIZAINI YA HAYO MADILISHA NI MPYA KABISA.
ReplyDeletehapo enzi zetu tunakojolea mlango tunakula vitu vote ndani tumbo halivimbi wala nini lazima aingie dukani mwenyewe kupata viro halisi
ReplyDeleteHiyo unayoita kufuli la viro huku Pwani tunaiita boi ya kusongea ugali na kule Tabora Wanyamwezi wanaiita mpanti wa kushikia sufuria wakati unasonga ugali.Dooh hivi vitu adimu siku hizi kuviona huku mjini...
ReplyDelete