IFUATAYO NI ORODHA YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA TFF WALIOCHAGULIWA LEO.
1. WALLACE KARIA
2. AMIR ROSHAN
3. SAMWEL NYALLA
4. KHALIFA MGONJA
5. AHMED MSAFIRI MGOYI
6. TEOFRID SIKAZWE
7. ELIUD MVELA
8. SHAIBU NAMPUNDE
9. HUSSEIN MWAMBA
10. ATHUMANI KAMBI
11. KHALID MOHAMED
12. MUHSIN BALHABOU
KINACHOSUBIRIWA NI WASHINDI WA NAFASI YA URAIS NA MAKAMU WAKE WAWILI.
1. LEODEGAR TENDA VS JAMAL MALINZI - URAIS
. LAWRENCE MWALUSAKO, ALI HASSAN MWANAKATWE NA JUMANNE NYAMLANI - MAKAMU WA KWANZA WA RAIS
3. DAMAS NDUMBALO, NASIBU RAMADHANI - MAKAMU WA PILI WA RAIS
STAY TUNED!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. TUPO PAMOJA MKUU TUNAMFATILIA MWANETU ATHUMAN JUMANNE NYAMLANI
    MUNGU AMJALIE ASHINDE
    MDAU
    KISIJU PWANI

    ReplyDelete
  2. Nashukuru mungu wachafuaji wa hali ya hela Rage na Wambura hawamo.

    ReplyDelete
  3. kaka vipi mbona JACK PEMBA simwoni alikuwa anagombea umwenyekiti aliniambia, ama ametolewa mapema!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...