hee... leo mtaani kwangu watanikoma. bonny luv amerejea bongo toka marekani na kaniletea kazawadi ka fulanzzz na raba mtoni toka kwa mdau wa old skul. nashukuru sana mdau, nami nimeingia studio ya bonny luv kutoa singo ya kukushukuruni. kaeni mkao wa kula. itaitwa 'ze fulanazzzzzzz katika miondoko ya chacha


Forman Mills, Value City,Wal mart, City blue(doubt it)
ReplyDeleteMzee michu usituyeyu..ilo gitaa umeshikilia kama umeshika pipi bwana...Anyway aminia angalia singo isije kawa kama ya Kingwendu.Ongera kwa ze Fulanazzzz
ReplyDeleteHUJATULIA MICHU dah
ReplyDeleteumenchekesha saaaana ya n wee zinga la msanii
ushalivaa ze fulanazzz na uko studio???uirushe radioni iyo singo tufe mbavu
hahaaaaaaa
Kwa hiyo kuanzia sasa timu yako ya mtu mmoja itakuwa na jezi pair mbili?
ReplyDeleteBro ze Fulanazzzzzzzzzzz ni sazii ngapi? ili wadau watume tano zaidi kukava wiki siunajuazzzzzz
ReplyDelete