mdau emmanuel evans kasembe wa okinawa pharmacy ya dar na mai waifu wake anne israel kiyame mara baada ya kumeremeta katika kanisa la pentekoste la mtaa wa lindi, dar, na kisha kweny mnuso mmoja wa nguvu kule mgulani jkt ukumbi wa makuti hall. anne ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cya university of dar es salaam akisaka nondozzz ya BA Education

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wamependeza, but thats my kind of woman. umembembesha mumeo maua!!!Next thing, mwambie akubebee handbag.

    ReplyDelete
  2. kumbe m/me akibeba maua inanoga?ha ha

    ReplyDelete
  3. Du jamaa kachemsha,lakini ndio hivyo kidogokidogo anaanza kufua nguo,kuosha vyombo na mama analala kitandani kupumzika hahaha ehehehe.

    ReplyDelete
  4. Hongereeni sana maharusi.Msijali hizo comments za juu.Sisi ambao tumo kwenye ndoa tunawasaidia wake zetu.Usipanic bwana harusi hao ni vijana wanataka kukuchanganya.Unaweza kumnyoshea mkeo nguo,kumsaidia kubeba mtoto hata kama mpo barabarani.Hakuna tatizo lolote.

    ReplyDelete
  5. chuo kikuu cha university od dar,,michuzi bwanaaa.
    dada umependeza sana sana nilijua tu mtakua wapendwa yan ni wachache sana siku izi sio ivo km nyie!!
    nilijua utakua BA education unaonekana tu ni mwl mwema.
    annons mnaoshangaa ati mwanaume afue,aoshe nk kwani kabla hajaoa nani alikua anamfanyia?akifanya anapunguza uanaume wake au?

    mna matatizo sana nyie watu,shezni kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...