Leo siku ya Jumapili kuanzia majira ya saa saba za mchana (EST) sawa na saa tatu za usiku (Saa za Afrika ya Mashariki) tunatarajia kuwa na mahojiano na Dr. Harrison Mwakyembe Mbunge wa Kyela na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge iliyochunguza kampuni ya Richmond.
Ni matokeo ya Kamati hiyo ndiyo yaliyosababisha aliyekuwa Waziri Mkuu Mhe. Edward Lowassa kujiuzulu na hatimaye Baraza la Mawaziri kuvunjika. Tutatungumza na Dr. Mwakyembe karibu mwaka mmoja kamili tangu matukio yale ya Februari 2008, matukio ambayo yalikuwa ni ya kihistoria.
Tutazungumza naye pia mambo mengine ya kitaifa saa na wakati huu ambapo Taifa letu linapitia katika mabadiliko makubwa ya kifikra.Utaweza kusikiliza mahojitano yetu kupitia tovuti yako hii "live".
Title: KLH News Episode: Exclusive:
Mahojiano na Dr. Mwakyembe
entry/2009-01-24T16_57_16-08_00
Enjoy!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. US BLOGGER UJUMBE WAKO

    yOU KNOW THAT UR A TRAITOR, U HAVE NO LOVE FORMYOUR COUNTRY. UR SOME OF THE PEOPLE WHO NEEDS TO BE EXECUTED KWA KUIUA UZALENDOO.

    LAKINI KWA BAHATI NZURI TUTAKUANDIKIA KUMSHUKURU BOSI WAKO KWA TABIA ZAKO NZURI ILI UANZE KUTAFUTA KAZI NYIGINE KWA SABABU KAZI YAKO YA SASA UMEITUMIA VIBAYA NA INABIDI UTAUTE NYINGINE HASA VITU UNAVYOANDIKA KWENYE INTERNET

    nikikuandikia hapo chini nitakupata ili unisaidie Zaidi?

    US Anonymous Blogger?
    1020 Chandler Ridge Drive,
    Lawrenceville GA 30045
    Phone: 404 663 5050

    Next---- NAME !!!!!

    Keep on, and you are going to see the name.

    I hope this is going to be a fair game. Do unto others what you ...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...