Home
Unlabelled
JK azindua kampeni ya kupanda miti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TUJITAHIDI KUPANDA MITI NA KUITUNZA KUZUNGUNGA NYUMBA ZETU NA BARABARANI ILI KUPATA HEWA SAFI, KUFUTA MVUA, VIVULI NA KUPENDEZESHA MANDHARI KAMA VILE KWA WENZETU WALIVYO HUWA INAPENDEZA. TUSIKATE MITI WALA VICHAKA TUVIACHE VILIVYO TUVITUNZE TU.
ReplyDeletekama ni kampeni ni kupanda miti, mbona rais Huo anaopanda siyo mti. LABDA TUSEME NI KAMPENI YA KUPANDA MIMEA
ReplyDeleteHuu sio msimu wa upandaji miti, kwa kawaida msimu huu huanzia katikati ya mwezi wa 3 au mwezi wa 11 hiki ndio kipindi ambacho kina mvua za kutosha, hiyo iliyopandwa utakaopona ni mmoja tu alioupanda mheshimiwa kwa sababu wataumwagilia na boza la maji hadi ushike, hiyo mingine itakufa yote
ReplyDeletenaunga mkono kampeni ya kupanda miti. wananchi haswa wa vijijini wahamasishwe kupanda miti ili kuzuia kuenea kwa jangwa.
ReplyDeleteninashukuru kumuona rais wetu anapanda miti. hili ni jambo zuri sana. watanzania ni lazima tupande miti. kwanini miji yetu hatutengi sehemu za parks. wazee wa miji kazi yao ni kugawa viwanja vya kujenga nyumba peke yake lakini hawaweki aside sehemu za parks. baba yangu ananiambia wakati wa ukoloni kulikua na miti mbele ya karibu kila nymba lakini ikakatwa yote. pengine tungepanda mingine. tafadhali serikali angalieni ile sehemu kati ya longido na oldonyo sambu mkoani arusha kunageuka jangwa.
ReplyDeleteweee annon wasema longido tu??yan nilipoenda iringa km miaka mitano ilopita nilikataa kbs sio iringa,yan jangwaaaa no miti kabisa kule miliman yan kukame adi balaa,jaman izi ngozi zingine na akili finyu??
ReplyDeleteyan hakufai mchana ilo joto na jua,no upepo at all,dar ndo usiseme yan mtu anapojenga anakata miti yooote around asafisha kama barazan wee wafikilia nini??dar hakufai kwa mvuke la joto na jua adi niliugua,hutembei mchana,asa pale mliman city ndo walinshangaza kabisaaa yan na "uzungu" wote ule wa malls hakuna kivuli hata kidgo nje no miti zaidi ya vile vimtende sijui!!!aaggh so stupid yan