Mbunge mpya wa Mbeya Vijijini Mchungaji Luckson Mwanjale akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Huyu mbunge mpya aache sasa kuvaa misuti ya kushonesha local, akatungue woolworths sasa,toka wakati wa kampeni ni masuti ya kushonesha tuu

    ReplyDelete
  2. masheikh ..changamkieni deal..ubunge kwa wachungaji wa kondoo nje nje..ona akina rwakatare! nyie mpo wapi?

    kalaghabhahoooooooooooo

    ReplyDelete
  3. hiyo picha nimeipenda sana kwani haina bendera ya chama bali ni ya Tanzania which is Big LOVE to the country.
    Some time inasikitisha pale unapoona mtu anagombea urais au ubunge huku amezungunkwa na 80% ya bendera zote ni za chama chake is like kama atakuwa mbunge/rais basi ataripresent wananchi wa kile chama tu kitu ambacho si kweli.
    Hivyo basi nawaomba wabongo wote tutumie sana bendera ya nchi which is very beautiful flag na vilevile ni alama ya upendo kwa nchi yetu no matter which party you r supporting.BIG LOVE TO TANZANIA

    ReplyDelete
  4. nashangaa serikali ya tanzania tumeona uchaguzi wa ubungo umeenda kimagube magube vipi ataapichwa huyo na tena mambo ya mugabu

    ReplyDelete
  5. CCM wameshaiba kura hapa

    ReplyDelete
  6. BITOZI WA ZAMANI BROTHER MICHUZI MSAADA KWENYE TUTA.
    ME NI MDAU AMBAE NINGEPENDA KUWAELIMISHA WATANZANIA WENZANGU WASIEJUA NINI MAANA YA MSWAHILI EITHER KWA NAMNA MOJA AMA NYENGINE HAWAJUI MAANA KUNA AINA MBILI ZA MAKOSA KWENYE LUGHA WATU HUWA WANAZIFANYA EITHER NI MAKOSA YA KILESKIKA HAYA NI MAKOSA YA KIMAANA YANI KIMANTIKI MAKOSA HAYA HUSABABISHWA SANA NA MAZOEA YANI MTU ANAKUA ANAKUA NA MAZOE YA KUTUMIA NENO FLANI KUMANISHA KITU BILA KUJUA KAMA SIYO MAANA YAKE HALISI MFANO UTAMSIKIA MTU KAFANYWA KITU ANAKWAMBIA NO SWEET BWANA!KWAHIYO MTU HUFANYA MAKOSA BILA KUJUA.

    PILI NI MAKOSA YA KISARUFI AMBAYO MTU HUWA ANAYAFANYA KUTOKANA NA KUATHIRIKA NA AKSENTI EITHER INAWEZA KUSABABISHWA NA GEOGRAFIK POSITION ANAYOTOKEA AMA MOTHER TONGUE.

    TURUDI KTK MADA PIA KUNA WENGINE WANAKUA WANAJUA NINI MAANA YA KITU MFANO MSWAHILI ILA WANAKUA NA PROPAGANDA ZAO AMBAZO WANAKUA NA NIA YAKUTAKA KUZIPANDIKIZA KATIKA JAMII,HIVI UKILETA PICHA MBAYA JUU YA MSWAHILI UNAMKOMOA NANI?MAANA WEWE SIO FRANCOPHONE AU ANGLOPHONE PIA UPO KATIKA KUNDI HILOHILO LA WASWAHILI,NI SAWA NA KONDOO MWEUSI ANAEBAGUA KONDOO WAUSI WENZIE BILA KUJUA KUA NAYE NI MWEUSI KESHO ITARUDI KWAKE

    KWAHIYO NINGEPENDA KUWAELIMISHA WATANZANIA WENZANGU KUWA TUSIJIDHALILISHE KWA KULETA PICHA MBAYA AU KUTAKA KULIGEUZA KWA ITIKADI ZETU BINAFSI NENO MSWAHILI KWANI UKIWA NDANI YA TZ. UTAONA NI SAWA BUT UKITOKA NJE YA NJE AMA KUISHI NA JAMII NYENGINE UNAJIDHALILISHA HATA WEWE MWENYEWE KWA KUKOSA KUJUA NINI MAANA YA MSWAHILI NA KUTOKUJUA NAWE NI MSWAHILI PIA,

    KWA KIFUPI MAANA YA MSWAHILI NI MTU ALIYESTAARABIKA MWENYEKUJUA NINI MAANA YA USTAARABU,MWENYEKUJUA NINI MAANA YA STARA ANAEJUA UTU NI NINI
    PIA MSWAHILI NIYULE ANAEZUNGUMZA KISWAHILI NA ALIYEPWANI MWENYEKUKONTACT NA WATU WENGINE NA KUJUMUIKA NAO KATIKA SHUGHULI NYENGINE KAMA VILE ZA KIBIASHARA N.K
    NA NDIO MAANA HISTORIA YA TANZANIA INAONESHA MSWAHILI ALIWEZA KUFANYA BIASHARA NA WATU WOTE HATA WASIO WATANZANIA KAMA WARENO WAARABU N.K ILITUMIKA KUTUNGANISHA NAO NA NDIOMAANA MPAKA LEO WATANZANIA TUNASIFIKA KUWA WAKALIMU NA UPENDO,MSWAHILI YEYOTE HAWEZI KUWA FISADI UKIMPA MADARAKA AMA UKIMWACHIA BIASHARA ATAIFANYA KWA UAMINIFU HII KUTOKANA NA KUA NA HISTORIA NZURI.

    NI WASWAHILI AMBAO WANAJUA USTAARABU NA NDIOMAANA BABA WA TAIFA ALITUMIA KISWAHILI KUTUUNGANISHA ALIKUA ANAJUA WAZI KUA LUGHA HII YA WAUNGWANA WANAOJUA UTU ITAWAUNGANISHA WATANZANIA WOTE NA KULETA AMANI MIONGONI MWAO KWANI WAMEKULIA NA INAMAHADHI YA UTU NA NDIOMAANA TANZANIA TUMEKUA KITU KIMOJA HAKUNA UKABILA WALA UDINI UKILINGANISHA NA NCHI NYENGINE.

    WATANZANIA WENZANGU TUACHE KULALA NA INFERIORITY COMPLEX NA BADALA YAKE TUJIVUNIE KUWA WASWAHILI YANI WAUNGWANA TULIOSTAARABIKA NA TUNAZUNGUMZA KISWAHILI,MATOKEO YAKE NCHI KAMA KENYA KILA SIKU INATUACHA NYUMA KUTOKANA NA INFERIORITE COMPLEX ZETU,KENYA SASA HIVI INAJIVUNIA KUJIITA NCHI YA WASWAHILI WANAJIITA MOTHER LAND YA SWAHILI LANGUAGE KUJITANGAZA BUT UKWELI KWAMBA KISWAHILI KIMEZALIWA KWETU NA SISI NDIO TUNAOKITUMIA SANA NA VIZURI KULINGANISHA WAO.

    IMAGINE KWENYE UMOJA WA NCHI ZA KIAFRIKA RAISI ALIEOMBA KISWAHILI KIWE LUGHA YA MAWASILIANO KTK UMOJA HUO ALIKUA NI RAISI WA MSUMBIJI,SISI TUMELALA
    TUSIPOTOSHE MAANA NZURI YA MSWAHILI,KAMA TUNAMAANISHA NEGATIVE ME NADHANI HAO WAZUNGU NA JAMII NYENGINE KAMA AMERICA ULAYA N.K NDIO WANGEFAA TUWAITE HIVYO HII KWA MTU ALIEKAA AMERICA AU ULAYA ANAJUA JINSI WATU HAO WASIVYOKUA NA UBINADAMU AMA USTARAABU AMA TABIA ZA AJABU
    WATANZANIA TUJIVUNIE KUA WASWAHILI TUELIMISHANE TUELIMIKE ILITUE WASWAHILI NA WAZALENDO.
    MDAU WA UTALII

    ReplyDelete
  7. Hongera sana Rev. Luckson Mwanjale kwa kuwa mbunge wa Mbeya vijijini. Kumbuka kwamba ubunge wako ni mwaka mmoja tu maana mwaka 2010 uchaguzi mkuu. Sasa inabidi udhihirishe kwamba hukuchaguliwa kwa bahati mbaya kwa kufanya kila uwezalo ili wananchi wa jimbo lako wasisite kukuchagua tena. Kumbuka kuna mtu anaitwa Shitambala wa CHADEMA anakusubili kwa hamu mwaka 2010.
    Mdau

    ReplyDelete
  8. duu jamaa alieleta hoja kuhusu mswahili hiyo imenikuna kaka michuzi hebu irushe kwenye kurasa ya mbele iwe kama mada tupate elimu

    ReplyDelete
  9. MASHEKHE MKO WAPI? WENZENU WANANYANYUA CHAO MAPEMA."CCM" NANYIE KWA KUZUBAA BWANA!

    ReplyDelete
  10. Mwacheni Mchungaji avae mavazi yake ya kushonesha,viatu vya kawaida na aendelee kuwatumikia awatu kiroho na kidunia.Ninyi ndio mnawabadili hawa viongozi na kuwaona washamba,mara mnamuonyesha simu za kisasa,magari ya fahari,majumba na maisha ya ubinafsi.Taratibu ananogewa anahamia DSM na anaanza kuitafuta Keki ya Taifa.

    ReplyDelete
  11. MWENYE HOJA YA MSWAHILI IMEKIJAJE HAPA, HATAHIVYO SUKUBALIANI NAYE KUWA MSWAHILI NI MWANINIFU, MUUNGWANA NA MSTAARABU NA SI FISADI. NDOYO MAANA MTU AKIFANYA UJANJA UJANJA USIOKUBALIKA KATIKA JAMII WATU HUMUITA MSWAHILI SANA JAMAA HUYU IKIMAANISHA SI MTU WA KUMWAMINI, HIVYO SI KWELI KWAMBA MSWAHILI NI MTU SAFI.

    ReplyDelete
  12. HUYU MCHUNGAJI SIJUI ANATUMIA HIRIZI GANI MIE NIMEROGA MPAKA NIMECHOKA NA AKASHINDA...

    ReplyDelete
  13. Hivi wachungaji si huwa wanavaa vile vitambaa vya kubana shingo badala ya kuvaa tai au??Nashindwa jinsi ya kuvieleza lakini kinakuwa kana kitambaa fulani hivi kinazunguka shingoni kinaonekana kipande kwa mbele(Nadhani rangi nyeusi),ukimwona tu utafhamu huyu nim mchungaji.Pili.Serikali si inasema tusichanganye DINI na SIASA au huyu ni nmchungaji mstaafu.Padri Karugendo Upoo?

    ReplyDelete
  14. wee annon apo
    mchungaji anatumia jina la Bwana wa majeshi,mfalme wa wafalme Yesu Kristo,,,hakuna nguvu yoyote ile ya kumshinda
    ila pasta angalia usianguke mana majaribu ktk siasa sii mchezo uwe mfano kwa utumishi mwema
    ni hayo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...