Mkuu Habari za Bongo,
Natumai mambo mazuri..umetunyima neema gani wadau wako wa HOUSTON TEXAS...Mkuu picha yetu vijana wako tulikwenda kutembelea

UNIVERSAL STUDIOS

ndani ya Orlando,

FLORIDA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Sijaelewa vema ni nini hasa Maudhui ya hii picha mliyoitundika humu Barazani.
    Nakubali kwamba sometimes tunahitaji ku-refresh mind zetu baada ya upembuzi wa hoja za kina Mashaka, US Blogger, Chibiriti, Manka na wachangamshaji wengine, lakini ingekuwa na maana zaidi endapo "wenzangu na mie" mngetuuzia sura ndani ya taswira ziendazo sambamba na ujumbe maridhawa kwa Jamii nzima inayochugulia hili baraza.
    Ok! Mmependeza na Tumewaona.
    Hongereni sana >_<

    Sussex.

    ReplyDelete
  2. MCHANGIAJI WA KWANZA IYO PICHA INA MAHANA ACHA JAZBA NENDA LIKIZO,UKIRUDI PICTURE KAMA IYO ITAKUA INAKUKUMBUSHA NA WEWE LIKIZO YAKO NA UTAIFURAIA

    ReplyDelete
  3. kuku kuku Baba,jogoo jina .Zamani hamkuwa hivyo wana.

    ReplyDelete
  4. Aminia machizi, mpo freshy tuu!boksi kidogo na starehe kidogo!

    ReplyDelete
  5. (US Blogger)

    foto imetulia na ujumbe tumesikia kwamba vekesheni ni muhimu, kwa hilo nimekubali.

    Nina swali, brother in red, wewe ndio yule beki namba tano wa timu ya Houston? Kama ni wewe keep it up ma man, skill zako in soccer ni kama skill zangu kuwadhibiti wanaoongopea wenzaao kwenye hii blog ya jamii juu ya maswala ya uchumi.Kila mchezo una wenyewe.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  6. Kweli tuko wengi Htown, mi hawa wachizi sijawahi kutana nao!!/

    ReplyDelete
  7. Mimi nipo tu zangu huuuuuuuuuuuku nimetulia sihitaji sana ujinga kama wenu hapo pichani? Kauzeeni huuuuko Kinyanambo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...