Home
Unlabelled
salamu toka h-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijaelewa vema ni nini hasa Maudhui ya hii picha mliyoitundika humu Barazani.
ReplyDeleteNakubali kwamba sometimes tunahitaji ku-refresh mind zetu baada ya upembuzi wa hoja za kina Mashaka, US Blogger, Chibiriti, Manka na wachangamshaji wengine, lakini ingekuwa na maana zaidi endapo "wenzangu na mie" mngetuuzia sura ndani ya taswira ziendazo sambamba na ujumbe maridhawa kwa Jamii nzima inayochugulia hili baraza.
Ok! Mmependeza na Tumewaona.
Hongereni sana >_<
Sussex.
MCHANGIAJI WA KWANZA IYO PICHA INA MAHANA ACHA JAZBA NENDA LIKIZO,UKIRUDI PICTURE KAMA IYO ITAKUA INAKUKUMBUSHA NA WEWE LIKIZO YAKO NA UTAIFURAIA
ReplyDeleteHater
ReplyDeletekuku kuku Baba,jogoo jina .Zamani hamkuwa hivyo wana.
ReplyDeleteAminia machizi, mpo freshy tuu!boksi kidogo na starehe kidogo!
ReplyDelete(US Blogger)
ReplyDeletefoto imetulia na ujumbe tumesikia kwamba vekesheni ni muhimu, kwa hilo nimekubali.
Nina swali, brother in red, wewe ndio yule beki namba tano wa timu ya Houston? Kama ni wewe keep it up ma man, skill zako in soccer ni kama skill zangu kuwadhibiti wanaoongopea wenzaao kwenye hii blog ya jamii juu ya maswala ya uchumi.Kila mchezo una wenyewe.
(US Blogger)
Kweli tuko wengi Htown, mi hawa wachizi sijawahi kutana nao!!/
ReplyDeleteMimi nipo tu zangu huuuuuuuuuuuku nimetulia sihitaji sana ujinga kama wenu hapo pichani? Kauzeeni huuuuko Kinyanambo.
ReplyDelete