
mehboub el hadad na timu yake walikuwepo kurekodi sherehe hizo na vifaa vyao vya kisasa katika ukumbi wa diamond jubilee hall usiku wa kuamkia leo ambapo wafanyakazi wote wa vodacom na wadau wa kampuni hiyo inayoongoza kwa huduma za simu za mkononi

wadau wa vodacom shereheni

ilikuwa kujirusha ni hadi lyamba

mheshimiwa temba akiwajibisha wanaume tmk family shereheni

mdau louis na stella waliwakilisha vipaji vya vodacom katika kuimba R&B kama neo na mary j blige katika kuadhimisha mwaka mpya usiku wa kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee hall hapa dar. wafanyakazi wote na wadau wa vodacom walihudhuria bash hili la nguvu

masoud kipanya na mwenzie walikuwa ma-MC

palikuwa hapatoshi

wazee wa ngwasuma walikuwepo kuuliza samaki-ana-vipande-vingapiiiii

Profesa J alikuwepo kurusha watu

baadhi ya mabosi wa vodacom wakiburudika

wazee wa ngwasuma fm academia wakifanya vitu vyao

TMK wanaume family nao walikamua vilivyo
The best thing about these guys is,, wananyoonya watu wao, lakini baadae wanawarusha biiig time, yani staff parties kwao ni serious thing, staff have to enjoy the one night mpaka you feel like you have missed something biig
ReplyDeleteweeeeeeeeeeeeezi watupu!!
ReplyDeleteyani private sekta ya mawasiliano Tz wanatunyonya sana,,,
sijui kwanini president na waziri husika hawalioni