mehboub el hadad na timu yake walikuwepo kurekodi sherehe hizo na vifaa vyao vya kisasa katika ukumbi wa diamond jubilee hall usiku wa kuamkia leo ambapo wafanyakazi wote wa vodacom na wadau wa kampuni hiyo inayoongoza kwa huduma za simu za mkononi
wadau wa vodacom shereheni
ilikuwa kujirusha ni hadi lyamba
mheshimiwa temba akiwajibisha wanaume tmk family shereheni
mdau louis na stella waliwakilisha vipaji vya vodacom katika kuimba R&B kama neo na mary j blige katika kuadhimisha mwaka mpya usiku wa kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee hall hapa dar. wafanyakazi wote na wadau wa vodacom walihudhuria bash hili la nguvu
masoud kipanya na mwenzie walikuwa ma-MC

palikuwa hapatoshi
wazee wa ngwasuma walikuwepo kuuliza samaki-ana-vipande-vingapiiiii
Profesa J alikuwepo kurusha watu
baadhi ya mabosi wa vodacom wakiburudika
wazee wa ngwasuma fm academia wakifanya vitu vyao
TMK wanaume family nao walikamua vilivyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. The best thing about these guys is,, wananyoonya watu wao, lakini baadae wanawarusha biiig time, yani staff parties kwao ni serious thing, staff have to enjoy the one night mpaka you feel like you have missed something biig

    ReplyDelete
  2. weeeeeeeeeeeeezi watupu!!
    yani private sekta ya mawasiliano Tz wanatunyonya sana,,,
    sijui kwanini president na waziri husika hawalioni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...