kuna wadau wamekuwa wakihoji wapi ilipo fulanazzz ya jamii, na kamba kitambo hawajaiona. wengine walishaanza kuzusha ati imeshapigwa mnada.

nami nawajibu kwamba fulanazzz yao bado ipo ipo na inaendeleza libeneke kama kawa. hapa ni kwenye harusi ya weding moja kanisa la mtakatifu petro dar wikiendi ilopita. naomba kuwasilisha...
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Duh! mbona mapadri wengi hivyo hapo mbele? ni padri mwenzao anaoa? Beautiful church!

    ReplyDelete
  2. kumbe usemi "cheka unenepe" una ukweli ndani yake, Najiona nimenenepa.

    ReplyDelete
  3. Hivi niambieni; huyu mheshimia si ustadh?? Sasa kulikoni kanisani!!

    ReplyDelete
  4. Ulivyo jibanza apo utafikili unataimu sadaka vile ,he he he

    ReplyDelete
  5. Hakuna ubaya kila mtu anakarishwa kanisani bila mashart yoyota yale. Maana tunaamini Mungu anaangalia roho na siyo chochote. so it is free for every body.

    ReplyDelete
  6. michu umezidi bwana harusi ya weding ndio nini sasa, huwachi bwana!!!

    ReplyDelete
  7. anonymous wa february 02, 2009 8:16 pm kwani kuna kosa gani kuingia kanisani? kwani amesali au kufanya ibada yeyote ndani humo zaidi ya kuhudhuria harusi na kuchukuwa picha?

    ReplyDelete
  8. Mithupu mi unanimaliza "sensi ofu hyuma" yako tu eti harusi ya wedding moja hivi... hahaha, endeleza libeneke mzee...
    Mdau unayeuliza ustaadh?! mmh muthupu mjibu mdau basi,manaake hata mi nilijiuliza hivyo hivyo.! Rizki bwana...!!!

    ReplyDelete
  9. Michuzi nae hii flana ndio uniform ya kazini nini? Hembu tumwangie ukweli hapa kha! inahitaji ipumzishe kidochuuuu. ha ha ha

    ReplyDelete
  10. Hii ina maana kubwa sana kwa wenye kujua, hasa katika katika maswala ya kujitangaza

    ReplyDelete
  11. ZE FULANAZZZZZZZZZ
    michuzi hujatulia kabisaaaa ebu ona ilo jicho la wizi ulopiga!!teh teh,
    afu kiswahili balozi wa naniii vipi??wedding ya harusi ndo nini?usituchafulie lugha yetu adhimu,afu unaingia kanisani una udhu wewe,na utapewa ukafiri shauri yako.

    ReplyDelete
  12. wewe annon wa kwanza unamaanisha nini?? wee muislamu,au mpagani nini?mapadre hawaoi sawa ni wachungaji wanaoa...
    michu ilo ninaloliona apo ni "tabasamu"au dah!unatisha mtu wangu
    hahahaaaaa usihamasishe mijimama
    hahahahaaaa

    ReplyDelete
  13. Mmh hii fulana, naona ikiwa imeanikwa ni mkao wa kuibembeleza kuwa ' KAUKA NIKUVAE KWA MJUMBE KUNA NGOMA).

    ReplyDelete
  14. Jamani Michuzi unajituma na hii kazi yako....kazi njema jamani...ure so enthusiastic na kazi yako & thts all tht really mattrs.
    Mdau
    New England
    US

    ReplyDelete
  15. Kwa kweli katika jambo ambalo inabidi kulienzi, kujivunia na kulilinda ni jinsi Watu wadini mbalimbali tunavyoishi Tanzania. Ni mfano wa kuigwa Duniani. Haswa Wakristu na Waislam ambao ndio tulio wengi.

    Hii ni moja ya vivutio vya nchi, Na haswa Wazungu wanatakiwa waje kule wafanye study waelewe na wajifunze.

    For this I am very proud of Tanzania and of being a Tanzanian.
    Mbongo

    ReplyDelete
  16. Jamani kaka michuzi nawe kwa sifaaa!!!! waongoza wewe jikaka!

    da kuruthumu mji mkongwe!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...