
nami nawajibu kwamba fulanazzz yao bado ipo ipo na inaendeleza libeneke kama kawa. hapa ni kwenye harusi ya weding moja kanisa la mtakatifu petro dar wikiendi ilopita. naomba kuwasilisha...
-Michuzi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! mbona mapadri wengi hivyo hapo mbele? ni padri mwenzao anaoa? Beautiful church!
ReplyDeletekumbe usemi "cheka unenepe" una ukweli ndani yake, Najiona nimenenepa.
ReplyDeleteHivi niambieni; huyu mheshimia si ustadh?? Sasa kulikoni kanisani!!
ReplyDeleteUlivyo jibanza apo utafikili unataimu sadaka vile ,he he he
ReplyDeleteHakuna ubaya kila mtu anakarishwa kanisani bila mashart yoyota yale. Maana tunaamini Mungu anaangalia roho na siyo chochote. so it is free for every body.
ReplyDeletemichu umezidi bwana harusi ya weding ndio nini sasa, huwachi bwana!!!
ReplyDeleteanonymous wa february 02, 2009 8:16 pm kwani kuna kosa gani kuingia kanisani? kwani amesali au kufanya ibada yeyote ndani humo zaidi ya kuhudhuria harusi na kuchukuwa picha?
ReplyDeleteMithupu mi unanimaliza "sensi ofu hyuma" yako tu eti harusi ya wedding moja hivi... hahaha, endeleza libeneke mzee...
ReplyDeleteMdau unayeuliza ustaadh?! mmh muthupu mjibu mdau basi,manaake hata mi nilijiuliza hivyo hivyo.! Rizki bwana...!!!
Michuzi nae hii flana ndio uniform ya kazini nini? Hembu tumwangie ukweli hapa kha! inahitaji ipumzishe kidochuuuu. ha ha ha
ReplyDeleteHii ina maana kubwa sana kwa wenye kujua, hasa katika katika maswala ya kujitangaza
ReplyDeleteZE FULANAZZZZZZZZZ
ReplyDeletemichuzi hujatulia kabisaaaa ebu ona ilo jicho la wizi ulopiga!!teh teh,
afu kiswahili balozi wa naniii vipi??wedding ya harusi ndo nini?usituchafulie lugha yetu adhimu,afu unaingia kanisani una udhu wewe,na utapewa ukafiri shauri yako.
wewe annon wa kwanza unamaanisha nini?? wee muislamu,au mpagani nini?mapadre hawaoi sawa ni wachungaji wanaoa...
ReplyDeletemichu ilo ninaloliona apo ni "tabasamu"au dah!unatisha mtu wangu
hahahaaaaa usihamasishe mijimama
hahahahaaaa
Mmh hii fulana, naona ikiwa imeanikwa ni mkao wa kuibembeleza kuwa ' KAUKA NIKUVAE KWA MJUMBE KUNA NGOMA).
ReplyDeleteJamani Michuzi unajituma na hii kazi yako....kazi njema jamani...ure so enthusiastic na kazi yako & thts all tht really mattrs.
ReplyDeleteMdau
New England
US
Kwa kweli katika jambo ambalo inabidi kulienzi, kujivunia na kulilinda ni jinsi Watu wadini mbalimbali tunavyoishi Tanzania. Ni mfano wa kuigwa Duniani. Haswa Wakristu na Waislam ambao ndio tulio wengi.
ReplyDeleteHii ni moja ya vivutio vya nchi, Na haswa Wazungu wanatakiwa waje kule wafanye study waelewe na wajifunze.
For this I am very proud of Tanzania and of being a Tanzanian.
Mbongo
Jamani kaka michuzi nawe kwa sifaaa!!!! waongoza wewe jikaka!
ReplyDeleteda kuruthumu mji mkongwe!!!!