Kaka Michu
Za leo? Shukrani kwa kuendeleza libeneke na ze fulanazzzzzzzzz kama kawa.Nina breaking newssss.
Kitabu nimechokuwa nikiandika kwa mda wa mwaka na nusu kimekamilika.
Kitabu kinashughulikia uchambuzi wa manovo za mwandishi wa kihindi aliyelelewa Dar maeneo ya mtaa wa Uhuru Street. Anaitwa Moezi GulamhusseinVassanji. Ni mmoja wa wachache wanaoandika manovo kuhusu Bongo kutumia lugha ya Kiingereza.

Cheki mengi kumhusu hapa.
http://en.wikipedia.org/wiki/M._G._Vassanji
Kichapishe kwenye blogu yetu ya jamii wadau wapate motisha kuchukumanondozz na kuendeleza usomi.
Justus

Du jamaa angu! We mwenyewe hapo kujieleza tu unachanganya lugha kweli unaweza kuunda point yebye akili ?
ReplyDeletesijui
mdau