Home
Unlabelled
mambo ya abidjan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
japo tumefungwa lakini tulikuepo na sisi huko ati bora sie kuliko jirani zetu tuliowatoa ati tupo ktk ramani ya socer nasie wajomba au vp manake socer silele mama vijana wamekaza msuli kiasi cha uwezo wao na tumewaonyesh urugui kiaina pia na waombea waendelee vizuri vijana kwangu mimi naona ni hatua moja mbele mpaka walipofikia big up boyz mdau toka stellenbosch wine land
ReplyDeleteTimu yetu ya Taifa Stars bado sana ina safari ndefu!To cut the story short:Baadhi ya mambo yaliyoifanya Taifa Stars ifungwe jana ni haya yafuatayo - Physique ya wachezaji wetu:ufupi wa wachezaji ulichangia na ni wengi hususan mbele kwenye ufungaji;kutokuwa makini katika kufunga golini - lack of accurate passes and shooting on target;mchezo ulikosa 'consistency'kipindi walicheza pasi fupifupi za uhakika na ball control ya hali ya juu Na kipindi mpira ulikatika na kupotezana kabisa na kila pasi kuelekezwa kwa maadui;kipa alijitahidi sana labda atahitaji kujinoa zaidi;wachezaji wetu hawana misuli ya kutosha miguuni na kifuani kuweza kuhimili vishindo vya uwanjani nk.Walijitahidi sana lakini bado sampling ya wachezaji lazima ifanyiwe kazi ya ziada.Nchi yetu ni kubwa mno na vijana wenye uwezo wa kucheza kandanda ni wengi mno mashuleni na mawilayani.Tuwe serious zaidi katika biashara ya mchezo wa soka.Tupunguze siasa na kubwabwaja sana hata kabla hatujaingia uwanjani tunesha wafunga wapinzani wetu kwa Kauli tu!
ReplyDeleteBwana Michuzi Tafadhali haya si maoni ila naomba utafikishie hili swala ndio maana malalamiko yamezidi kuhusu utendaji wa serikali.
ReplyDeleteVyeti feki:
Ministers in fake degrees saga
Most Read
DAILY NEWS Reporter, 22nd February 2009 @ 10:49
Eight Senior Cabinet Members and Members of Parliament are among recipients of questionable academic qualifications, particularly Doctorate Degrees (PhDs), from overseas Learning Institutions that are not internationally recognized. Some of the academic credentials are understood to have been obtained through correspondence between 1997 and 2005.
Well informed sources in the academia have told the ‘Daily News’ that the institutions which issued the doubtful qualifications include Washington International University based in Hawaii, Commonwealth Open University based in Caicos Virgin Island, Free States University, Ambala University in India and Almeda University, USA. The report comes amid revelations that some academicians, including at least one from Kenya, secured teaching jobs at higher learning institutions in the country using forged PhDs.
The Tanzania Commission of Universities (TCU) recently cautioned Tanzanians to be on maximum alert against the influx of bogus degrees. According to TCU Executive Secretary, Professor Mayunga Nkunya, many Tanzanians are easily trapped by agents of degree mills that are selling them at a negotiable prices starting from 2,000 US dollars (2.6m/-).
“There are so many fake Universities that are increasingly advertising online courses that don’t require one to attend classes but their physical addresses can not be traced anywhere. We advise those aspiring to pursue higher studies overseas to contact us first for guidance,” said Professor Nkunya.
The applicants should also contact embassies of the countries they intend to study in for guidance. One of the ministers is said have acquired a Masters in Business Administration (MBA) and a PhD. concurrently between 2001 and 2003. Another one undertook a Post Graduate Diploma course in 2000-2001 and a PhD course from 2001 to 2003.
According to our sources, there are more than 600 bogus Universities around the world enrolling students using fake addresses and mostly transact online. Dr Mussa Assad from the University of Dar es Salaam, who has been researching on fake Universities around the World, says getting a PhD involves hard work and that bona fide holders of such qualification is distinguished by their knowledge . “To earn a Ph.D., one must accomplish two things.
First is to master a specific subject completely. Second, one must extend the body of knowledge about that subject,” he explained. Prof Nkunya said that the ministers and MPs or their employers can bring the credentials to the Commission for verification. “We have no legal powers to make any follow up on the credentials for the time being, until the present Universities Act is amended, hopefully,” he said.
Wadau Nao hao jamani, Ndio maana nchi inazidi kudidimia!!!
Mbongo
JK hii ni sababu tosha kuwaondoa madarakani. Vihiyo alafu unawaangalia tu? Unatuma ujumbe gani kwa jamii? Huu ni ufisadi vile vile.
ReplyDeleteNamuunga mkono mdau wa February 23, 2009 5:02 PM kasoro kwenye kipengele cha kimo na suala la kujipa moyo kabla ya mechi. Kimo ni changamoto kwetu lakini sio sababu ya kushindwa. Tunalazimika kufanya kazi ya ziada kuhimili kupambana na mijitu yenye maumbo makubwa kama walivyofanikiwa kufanya Wakorea na Wajapan. Japo si habari ya soka lakini mwaka huu aliyetwaa ushindi katika slam dunk competition ya NBA ni Nate Robinson mwenye urefu wa 5'9". Ivo Mapunda anamzidi urefu Nate. Alionyesha manjonjo yake kwa kudanki kwa kumruka Dwight Howard mwenye urefu wa 6'11'. Dwight Howard amezidiwa nchi nne tu na Hasheem Thabeet.
ReplyDeleteTulikuwa wateja, kichwa cha mwendawazimu nk. kwa kila taifa la Afrika. Sasa hivi tumefika sehemu tunapambana na wenzetu waliounda timu nane bora za Afrika zinazoundwa na wachezaji wa ndani. Japo hatujafika lakini tunasonga mbele. Ilituchukua miaka zaidi ya 20 kuporomoka kufika tulipofika. Hatuwezi kuinuka tena kwa miaka miwili mitatu.
Kuna shabiki wa timu anaenda uwanjani akitegemea kufungwa?????
kwani hapo Kitenge na Hayatou walikuwa wanaongea lugha gani?Teh teh...nauliza tu.
ReplyDeleteBwana michuzi mbona hii habari ya mawaziri Vihiyo mbona unaibania.
ReplyDeleteTafadhali weka ukurasa wa mbele.
Tena imetokea kwako Daily News
Mbongo
bora tungeweka mkazo kwenye elimu. bora tanzania isifike kwa kuwa na ma-engineer bora, au madaktari bora, au mabwana shamba bora, kuliko kuwa na wanasoka bora.
ReplyDeleteannon 8.21am una AKILI sana,TRUE
ReplyDeleteivi jamani izo sura picha ya kwanza kiiila mchezo wapo vekesheni tuu kama michuzi-hahahaa saa ngapi wako jimboni mwao?au likizo-vekesheni kidogo
watu wana pesa ya kupumzikia?
whewwww!!!
kitenge alikua aongea SIMPLE KIINGLISHI tuuuu wee annon