
PRESENTS
MWANA FA FEATURING AY THE KING OF BONGO FLAVA
PERFOMING HIT SINGLES
HABARI NDIO HIYO,
NGOJA AGEUKE,
BADONIPONIPO
LIVE IN READING
@FACE NIGHT CLUB
CHATHAM ST
RG1 7JE
FROM 10PM-3.30AM
ENTRY £10 ONLY
7th FEB, 2009
ALL UR WELL COME!!
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mdau andika tu kiswahili vitu vingine mnawapa watu nafasi ya kuwakosoa nafikiri ungeandika kwa kiswahili ujumbe ungetufikia vizuri halafu wote sasa ndio nini kuandika ALL UR WELCOME ni UR ALL WELCOME hili ni moja tu la kosa lako nifunze kingereza kabla hujaanza kukitumia kwenye sehemu kama hizi ambazo watu mbali mbali wanasoma hapo kifupi upo uingereza nenda shule tu utaliondoa hili tatizo.
ReplyDeleteni kweli jamaa kakosea lakini sizani ulicho sahihisha mdau wa juu ndio kwamba unaju kinge umemadirisha cha mbele kuja nyuma sio coment ya kumfanya mtu asihelewe kilicho andikwa
ReplyDeletetutafika, lakini hatutaki kamera na mobile zote lazima ziwe off, hatutaki kesho yake kuwekwa kule............!
ReplyDeleteZE.......anasubiri picha zenu wadau
ReplyDelete