Home
Unlabelled
buriani chadiel mgonja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
http://www.youtube.com/watch?v=bvXdQziITGA&eurl=http://nukta77.blogspot.com/2009/02/video-ajali-ya-kutisha-iliyotokea.html&feature=player_embedded
ReplyDeleteSad, very sad ..... Poleni sana. May his SOUL rest in peace. This is from an Old Friend of Nashanda from 30yrs ago.
ReplyDeleteMgonja na Katibu mkuu Tiba Kwetira walikuwa viongozi katika wizara za Michezo na vijana wakati wa Mwalimu nyerere. Hii ni pamoja na mzee wangu Nhigula senior siyo mbunge na balozi ambaye alikuwa katibu mkuu msaidizi ardhi. Hawa wazee very humble na serikali ya Tanzania ya sasa lazima wajiulize kwa nini viongozi wa sasa hawafuati mfano wa hawa wazee...
ReplyDeleteNAKUMBUKA MGONJA ALIPOKUJA KUWA MKUU WA MKOA WA MTWARA NA MAGWANDA YAKE YA JKT YA MWANZO KABISA YALIKUWA YA KADETI, ALIKUWA KIJANA MACHACHARI NA ALIKUWA ANAPENDWA NA NYERERE. HATA MIMI NILIMPENDA WAKATI HUO NIKO PRIMARY SCHOOL
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteNadhani ungetugeuzia hiyo picha ya marehemu tukaiona badala ya hao wakubwa wanaotia sahihi tungefaidika zaidi. Hao walio hai tutaendelea kuwaona tu.
Asante!