BONGODJS ENTS
PRESENTS

MWANA FA FEATURING AY THE KING OF BONGO FLAVA


PERFOMING HIT SINGLES

HABARI NDIO HIYO,

NGOJA AGEUKE,

BADONIPONIPO


LIVE IN READING

@FACE NIGHT CLUB

CHATHAM ST

RG1 7JE

FROM 10PM-3.30AM
ENTRY £10 ONLY

7th FEB, 2009

ALL UR WELL COME!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mdau andika tu kiswahili vitu vingine mnawapa watu nafasi ya kuwakosoa nafikiri ungeandika kwa kiswahili ujumbe ungetufikia vizuri halafu wote sasa ndio nini kuandika ALL UR WELCOME ni UR ALL WELCOME hili ni moja tu la kosa lako nifunze kingereza kabla hujaanza kukitumia kwenye sehemu kama hizi ambazo watu mbali mbali wanasoma hapo kifupi upo uingereza nenda shule tu utaliondoa hili tatizo.

    ReplyDelete
  2. ni kweli jamaa kakosea lakini sizani ulicho sahihisha mdau wa juu ndio kwamba unaju kinge umemadirisha cha mbele kuja nyuma sio coment ya kumfanya mtu asihelewe kilicho andikwa

    ReplyDelete
  3. tutafika, lakini hatutaki kamera na mobile zote lazima ziwe off, hatutaki kesho yake kuwekwa kule............!

    ReplyDelete
  4. ZE.......anasubiri picha zenu wadau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...