Mzee Aron Mabondo wa Kibaha-Mkuza hatunaye tena.Mzee ABC Mabondo (pichani) amefariki dunia huko Arusha alipokuwa anaugulia kwa muda.Mwili wa marehemu umesafirishwa kuletwa Kibaha tayari kwa mazishi leo.
Aron Mabondo ni baba mzazi wa Fortunatus Mabondo au "Ondo" mkurugenzi wa New Life Band yenye makao yake mjini Arusha na ni baba wa Stella wa DAHACO.
Mzee huyu atakumbukwa kwa kazi yake na waumini wengi.
Mazishi ni leo Jumamosi 7.2.2009 huko Mkuza nyumbani kwa marehemu
saa kumi jioni.
Asanteni sana.
Watoto wa kiroho!!
Asanteni sana.
Watoto wa kiroho!!


R.I.P The Old man.
ReplyDeleteJamani poleni wafiwa. He was such a man of God.
ReplyDeleteWote tunaelekea huko huko.
Mzee wa shoka mkali wa injili,rest in peace,utakumbukwa milele. basi natuzitazame njia zetu, mzee wetu kamaliza kazi duniani.
ReplyDeleteAlale pema peponi.
ReplyDeleteAlikuwa mchungaji wangu enzi hizo nasoma Kibaha Secondary.
Poleni sana kaka Ondo na dada Stella Mungu awafariji tu jamaani!
ReplyDeleteMzee Aron Mabondo ameacha deni kubwa kwa wakristo tuliobaki katika kuifanya kazi ya Mungu kwa moyo na pasipo ubaguzi kwa jinsi alivyokuwa yeye kwa kundi kubwa la watu tunaokiri kwamba alitusaidia kwa maombi na ushauri pasipo kuchoka na pasipo ubaguzi wa umri au dhehebu . KWELI AMEVIPIGA VITA VIZURI AMEIMALIZA KAZI NA IMANI AMEILINDA .Ndauka
ReplyDelete