Mzee Aron Mabondo wa Kibaha-Mkuza hatunaye tena.

Mzee ABC Mabondo (pichani) amefariki dunia huko Arusha alipokuwa anaugulia kwa muda.Mwili wa marehemu umesafirishwa kuletwa Kibaha tayari kwa mazishi leo.

Aron Mabondo ni baba mzazi wa Fortunatus Mabondo au "Ondo" mkurugenzi wa New Life Band yenye makao yake mjini Arusha na ni baba wa Stella wa DAHACO.

Mzee huyu atakumbukwa kwa kazi yake na waumini wengi.

Mazishi ni leo Jumamosi 7.2.2009 huko Mkuza nyumbani kwa marehemu

saa kumi jioni.
Asanteni sana.
Watoto wa kiroho!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. R.I.P The Old man.

    ReplyDelete
  2. Jamani poleni wafiwa. He was such a man of God.

    Wote tunaelekea huko huko.

    ReplyDelete
  3. Mzee wa shoka mkali wa injili,rest in peace,utakumbukwa milele. basi natuzitazame njia zetu, mzee wetu kamaliza kazi duniani.

    ReplyDelete
  4. Alale pema peponi.

    Alikuwa mchungaji wangu enzi hizo nasoma Kibaha Secondary.

    ReplyDelete
  5. Poleni sana kaka Ondo na dada Stella Mungu awafariji tu jamaani!

    ReplyDelete
  6. Mzee Aron Mabondo ameacha deni kubwa kwa wakristo tuliobaki katika kuifanya kazi ya Mungu kwa moyo na pasipo ubaguzi kwa jinsi alivyokuwa yeye kwa kundi kubwa la watu tunaokiri kwamba alitusaidia kwa maombi na ushauri pasipo kuchoka na pasipo ubaguzi wa umri au dhehebu . KWELI AMEVIPIGA VITA VIZURI AMEIMALIZA KAZI NA IMANI AMEILINDA .Ndauka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...