ii
JK akimkaribisha Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia leo muda mfupi baada ya Rais huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya siku mbili nchini
Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia akikagua gwaride la heshima liliandaliwa kwa heshima yake na jeshi la Wananchi wa Tanzania wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar leo
Rais Rupiah Banda wa Zambia na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakiangalia ngoma za mara tu alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Rais Rupiah Banda wa Zambia akiwa amembeba mtoto Malaika Wilmore Mihayo aliyemkabidhi maua mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar

Baadhi ya akina mama wa Jiji la Dar es Salaam wakimkaribisha kwa shangwe Rais Rupiah Bwezani Banda muda mfupi baada ya kwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku mbili

Yaani hapo Raisi Banda alivyombeba huyo mtoto imenifanya nikumbuke ya hapa UK maana hapa mtoto wa kike wa mzungu ni unatakiwa umuogope kama ukoma.Na siku hizi hata wa kiume.
ReplyDeleteWewe ukileta mapenzi yako ya kiafrika sijui unambeba sijui unambusu thubutu mama yake akikuona tu Scotland Yard hawakawii kukugongea.
Yaani hawa wenzetu maendeleo mengine magumu kweli.....ila tatizo wengi wabayaaaa kwenye hiyo tabia ya upaedo(umaumba)!!!
Mungu atuepushie
Mzawa
Ipo itikadi kuwa maisha yote haya hayapo (wala sisi hatupo) ni illussion tu kama zilivyo objects kwenye screen au file folders zako - on one occassion they run about doing all wonderful animations and when deleted you just wonder what happened to all the fancy dynamics. Which may explain why we keep running in circles with the same names, places visited, friends made. Not long ago we had Rupia at the State House and Banda down south. We have been talking too much of Saddam Hussein and Osama bin Laden to an extent of having names like Biden and Obama (Hussein) in the White House. A few years ago I worked at an institution where staff members rymed so well that it was difficult to believe they were unrerlated. And unrelated they were - one from Singida another from Mwanza; three from the north and two from the south. And now? Rupia Banda, quite interesting.
ReplyDeleteJust thinking aloud...I still believe in God, though. We may all be icons on a huge screen they call universe, but its creator is and will always be supreme...
HIVI NI KIGEZO GANI KINATUMIKA KUWAPATA HAO WATOTO WANAVIKA MATAJI MARAIS MIMI NAPENDA KWELI WANGU AFANYE HIYO SHUGHULI JAMANI NISAIDIENI
ReplyDeleteEti Mihayo Wilmore ili na mimi mtoto wangu aende kumvika taji Rais,Waziri,Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya,Celebrity ajae hapa Bongo unatuma maombi wapi???
ReplyDeleteKaka Michuzi mbona hujibu maswali ya wadau hapo juu??? kwa kweli wengi tunataka kujua vigezo vinavyotumika na kama unapenda mwanao awe moja wapo utaratibu ni upi??
ReplyDeletekigezo kimojawapo ni kumvalisha mtoto tight hata kama kuna joto vipi, kwa kigezo cha kuvaa tight tuu ni ten point! endeleeni kutafuta vigezo vingine sasa.
ReplyDeleteaaah 'chicky monkey' taratiibu, go on start shinin that little star! na msimuekee memory hii, hatutaelewa hizo degree za IT ni za nini lol...
ReplyDeletewee annon wa kwanza,,,hahahaaaa aisee so ndo mwavofunzwa adabu wabeba box uko eeee??safi sana ni kweli watu makuwadi kweeeli midume yan kazi kunyemelea na udelele wawachuruzika kwa vitoto vya kike!!
ReplyDeleteannons apo mumeuliza swali zuri ata mie nilikua nataka nijue kigezo cha mtoto kuvika wakubwa mataji airport ni kipi??ili nasi tujue wenetu wanapataje nafasi,,
je mzazi awe director,meneja,big officer,mwanasiasa maarufu,business people tajiri au msomi??